Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Wafungwa wahitimisha Qur'ani mara 130 elfu katika jela za Iran
Namba: 263254 Tarehe: 1390/00/00Rejea: Ripoti ya ABNAprint

Wafungwa wahitimisha Qur'ani mara 130 elfu katika jela za Iran

Mkuu wa Darul Qur'an za Idara ya Magereza ya Iran amesema wafungwa wamehitimisha Qur'ani Tukufu mara 130 elfu katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kote nchini. 

 Wafungwa wahitimisha Qur

 Ripoti ya Shirika la Ahlul Bait(a.s)-ABNA-Akizungumza na IQNA, Mohammad Hassan Rabani Mkuu wa Darul Quran katika Idara ya Magereza nchini Iran amesema, kwa mujibu wa mpango uliokuwepo, Qur'ani imehitimishwa mara 130 katika magereza nchini kupitia makundi ya watu 30 na 60.

Ameongeza kuwa magereza pia yalikuwa na programu ya kutoa mafunzo ya Qur'ani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani