Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Insiklopidia ya maana na istilahi za Qur'ani Tukufu yachapishwa na ISESCO
Namba: 263845 Tarehe: 1390/00/00Rejea: IQNAprint

Insiklopidia ya maana na istilahi za Qur'ani Tukufu yachapishwa na ISESCO

Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu ISESCO limechapisha insiklopidia ya manaa na istilahi za Qur'ani Tukufu katika juzuu mbili. 

 Insiklopidia ya maana na istilahi za Qur

Ripoti ya Shirika la Habari la Ahlul Bayt(a.s)-ABNA-Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu ISESCO limechapisha insiklopidia ya manaa na istilahi za Qur'ani Tukufu katika juzuu mbili.

Kitabu hicho kimendikwa na Muiraq Hadi Hassan Hamoudi na kuchapishwa chini ya usimamizi wa ISESCO.

Utangulizi wa kitabu hicho ambacho juzuu yake ya kwanza ina kurasa 585 na juzuu ya pili ina kurasa 545, umeandikwa na Katibu Mkuu wa ISESCO Abdul Aziz Bin Othman Al-Tuwaijri.

Al Tuwaijri amesema katika utangulizi huo kwamba istilahi na maana za aya za Qur'ani zilipewa umuhimu mkubwa katika kipindi chote cha histora kutokana na haja ya kutaka kuelewa Qur'ani, kutekeleza mafundisho yake, kujua siri za muujiza wa kitabu hicho, kufahamu fasihi na balagha yake na kadhalika.

Ameongeza kuwa kitabu hicho hiyo inakusanya mitazamo tofauti kuhusu maana za istilahi za Qur'ani Tukufu na mwandishi wake amefanya jitihada za kutaja na kukusanya istilahi zilizotumiwa katika tafsiri mbalimbali za Qur'ani.

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani