Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Sudan Kusini yaiomba Kenya kusaidia mchakato wa amani na Khartoum
Namba: 278869 Tarehe: 1390/00/00Rejea: tehranprint

Sudan Kusini yaiomba Kenya kusaidia mchakato wa amani na Khartoum

Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ameiomba Kenya iendelee kusaidia mchakato wa amani kati yake na nchi jirani ya Sudan 

 
Rais wa Sudan Kusini ametoa ombi hilo leo alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais Mwai Kibaki wa Kenya katika ikulu ya Nairobi. Kwenye mazungumzo hayo Rais Kiir aliishukuru serikali ya Kenya kwa kuendelea kufuatilia kwa karibu mchakato wa amani kati ya Khartoum na Juba na ameitaka Nairobi kuendeleza ufuatiliaji huo katika masuala ambayo bado yanazigonganisha vichwa pande mbili hizo. Rais Mwai Kibaki kwa upande wake amesema Kenya itahakikisha inaendelea kusisitiza utekelezwaji kamili wa makubaliano ya amani ya Naivasha ya mwaka 2005 kati ya Sudan Kusini na Sudan.
 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani