Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Russia kushambulia vikali Nchi za Magharibi
Namba: 279708 Tarehe: 1390/00/00Rejea: ABNAprint

Habari za Ulaya
Russia kushambulia vikali Nchi za Magharibi

Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amezishambulia vikali nchi za Magharibi kwa kuchochea machafuko nchini Syria. 

 Russia kushambulia vikali Nchi za  Magharibi

Sergey Lavrov ametahadharisha pia kuwa, kuchochea machafuko nchini Syria ni hatari kwa usalama wa nchi zote za Kiarabu.
Amesema msimamo wa kiadui wa nchi za Magharibi kuhusiana na Syria umechochea kushadidi maandamano dhidi ya serikali katika nchi za Misri, Bahrain na Kuwait.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia pia ametaka waachiwe Wasyria wajiamulie wenyewe mambo yao bila kufanywa uchochezi wa aina yoyote ile.
Aidha ameashiria uharibifu mkubwa uliofanywa na Magharibi nchini Libya kupitia jeshi la NATO na kuongeza kuwa, Russia haitaruhusu nchi za Magharibi zitumie tena vibaya sheria za kimataifa dhidi ya Syria.

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani