Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  

Rais wa Italia ataka kufanyika mazungumzo kati ya dini mbalimbali
Namba: 280547 Tarehe: 1390/00/00Rejea: print

Rais wa Italia ataka kufanyika mazungumzo kati ya dini mbalimbali

Rais Giorgio Napolitano wa Italia ameitaka Vatican kutayarisha uwanja wa kufanyika mazungumzo kati ya dini mbalimbali nchini Italia. 

 Rais wa Italia ataka kufanyika mazungumzo kati ya dini mbalimbali
Rais Giorgio Napolitano wa Italia ameitaka Vatican kutayarisha uwanja wa kufanyika mazungumzo kati ya dini mbalimbali nchini Italia.
Rais wa Italia amesema katika mazungumzo yake na ujumbe wa Federesheni ya Makanisa ya Italia mjini Roma kwamba Vatican inalazimika kutayarisha uwanja mzuri wa kufanyika mazungumzo kati ya dini mbalimbali. Rais Giorgio Napolitano wa Italia ameongeza kuwa anamini mazungumzo kati ya dini mbalimbali hayapasi kufanyika katika uwanja wa kimatafa pekee bali yanapaswa kwanza kufanyika nchini Italia kati ya Kanisa Kikatoliki na dini nyinginezo.
Amesema anatarajia kuwa Bunge la Italia na wafuasi wa dini mbalimbali watatia saini hati ya melewano ambayo itakuwa utangulizi wa kustawisha mazungumzo kati ya duni mbalimbali.
 
Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani