Kufanyika mashindano ya tatu ya kimataifa nchini Sudan, kunatokana na juhudi za jumuia ya Qur'an karim nchini Sudan, mashindano hayo yameanza rasmi tarehe 16 mwezi huu yanayo tarajia kuisha juma pili ijayo.
Katika mashindano hayo wamishriki watu zaidi ya 250 katika sekta ya kisomo na hifshi ya Qur'an tukufu waliochaguliwa kutoka katika nchi 30 za kiislamu. miungoni mwa nchi zilizo shiriki ni Iran, Sirya, Iraq, Tunis, Chadi, na …