Habari kutoka mkoani kanu zenasema: tukio hilo limetokea katika hali ambayo mkoa mwengine pia limetokea tukio kama hilo mkoani (midokuru) ambako nimakao makuu ya kikundi cha Book Haramu. Kikundi hicho ndicho chenye kutuhumiwa katika matukio tufauti ya kigaidi nchini humo, ambako matukio kamavile kurusha risasi na kulipua mabomu katika mkoa wa Kanu ambapo watu kiasi cha 105 wameuwawa.
Mkuu mmoja wa polisi amesema; kituo hicho cha polisi kimelipuliwa sehemu ya sharadi mkoani Kanu na kumpiga risasi polisi mmoja, kwamojibu wa wakazi wa sehemu ya tukio ni kwamba baada ya tuko hilo kulitokea na mapigani baina ya wavamizi hao na Jeshi la polisi.