Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Wagombea 13 wapitishwa katika mchujo wa mwisho wa wagombea kiti cha urais nchini Misri
Namba: 311570 Tarehe: 2012/04/27 - 21:54Rejea: abnaprint

Afrika
Wagombea 13 wapitishwa katika mchujo wa mwisho wa wagombea kiti cha urais nchini Misri

Tume ya uchaguzi nchini Misri imeanisha orodha ya wagombea urais nchini humo, baada ya wananchi kuandamana kupinga kuwepo jina la Ahmadi Shafiqi kati ya wagombea wa kinyan'ganyiro hicho cha urais. 

 Wagombea 13 wapitishwa katika mchujo wa mwisho wa wagombea kiti cha urais nchini Misri

Usiku wa jana Tume ya uchaguzi wa Misri imeanisha orodha ya wagombea Urais wa nchi hiyo. Orodha ilioanishwa na Tume hiyo inawagombea 13. Miungoni mwa majina yaliofutwa katika orodha hiyo ni la Ahmad Shafiq ambae alikuwa Waziri mkuu wakati wa utawala wa kidikteta wa Mubaraka.
Orodha ifuatayo ni wagombea walioanishwa na tume ya uchaguzi wa Misri katika uchaguzi ujao   
1-Muhammad Musa
2- Ahalidi Ally
3-Abdulla Al Ashali
4- Hamdiini sabahiy
5- Ahmad Shafiqi
6- Muhammad alimul awaa
7- Mahmud Hisamu Dini
8-hishamul Bastuwisiy
9- Abdul Muniml Abul Futuh
10- Mmari Musa
11- Hisamu Khairu llah
12- Muhamma Abdul Fatah fawzi
13- Abul Izil Hariri
Uchaguzi wa urais nchini Misri utafanyika tarehe 23 na 24 mwezi wa tano, uchaguzi ambao utakuwa uchaguzi wakwanza wa Urais baada ya kupinduliwa uongozi wa Mubaraka

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani