Medvedev amechaguliwa kuwa waziri mkuu wa Urusi baada ya aliyekuwa katika nafasi hiyo Bw:
Vladmir Putin kuapishwa kuwa raisi wa taifa hilo kubwa lenye nguvu duniani.
Putin ambaye alichaguliwa hivi karibuni katika kinyang'anyiro cha kugombe urais
wa Urusi amehaidi kuilinda na kuitete Urusi na watu wake alakuli hali.
Putin ni moja kati ya viongozi wa Urusi wanaopendwa kupita kiasi hii inatokana na kutekeleza ahadi zake na
kuwa imara dhidi ya mahasimu wa Urusi.