Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Mripuko Damaskas kuuwa watu 55 na kujeruhi watu 372
Namba: 314732 Tarehe: 2012/05/13 - 03:28Rejea: Abna.irprint

Mripuko Damaskas kuuwa watu 55 na kujeruhi watu 372

Wizara wa mambo ya ndani ya Syria imetoa ripoti leo asubuhi kuwa zaidi ya watu 427 wamejeruhiwa katika mripuko huo. 

 Mripuko Damaskas kuuwa watu 55 na kujeruhi watu 372
Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Alkhamis asubuhi kulitokea miripuko miwili ya kigaidi na kusababisha maafa katika Nchi ya Syria, na mripuko ulotokea mapanda njia ya Al Qazaz, na ulikuwa mripuko huo  ni mripuko wa kutikisa Nchi ya Syria na kuwa mripuko mkubwa wa mwaka huu.

Ripoti ya Wizara ya mambo ya ndani ya Syria imeeleza; miripuko miwili imetokea Mji Mkuu wa Syria Damaskas na kusababisha kufariki watu 55 na kujeruhiwa watu 272 na 15 kutofahamika ni nani.


Imeelezwa kuwa mirikupo hiyo ilikuwa mabomu yenye kilogramu 1000, na katika mirikupo hiyo haikuelezwa mhusika miripuko hiyo ni nani.


Mripuko wa pili ulitokea baada ya dakida moja ya mripuko wa kwanza kusini mwa Damaskas, miripuko hiyo imetokea baada ya kuhushudia Nchi hiyo upinzani mkali na watu wanaosaidiwa na Nchi kadhaa za Kiarabu.

Hadi sasa hakujajitokeza kundi lolote lile la kigaidi kuwekea mkazo kuwa wao ndio wahusika wa miripuko hiyo, yasemekana kuwa kunauwezekano wa kuwa watendaji wa mambo hayo ni waasi wa Syria wanaodaiwa kuwa wanamapinduzi.    

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani