| Namba: 314733 | Tarehe: 2012/05/13 - 05:13 | Rejea: Fars | print |
Muamko wa Kiislamu Mfalme wa Saudia Arabia amuengua mshauri wake madarakani |
Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Abdullah Ibn Abdulaziz Mfalme wa Saudia Arabia alichua uamuzi wa kumuondosha mshauri wake madarakani Abdulmuhsin Al Abikan, kutokana na hitilafu zisizo fahamika, na kwanini Mfalme wa Saudia Arabia alifikia kuchua uamuzi huo?!
Al Akhbar Libanon imenakili kutoka katika vyombo vya habari vya Saudia vikieleza; Mfalme wa Saudia Arabia amuengua mshauri wake bila kufikiria na kutaja sababu wa kuondoshwa kwake madarakani.
Imeelezwa kuwa sababu ya kuondoshwa Al Abikan madarani ni kutokana na mazungumzo yake katika Radio kupinga vikali utengaji Wanawake katika jamii ya Kisaudia Arabia.
Uamuzi huo ulieleza kwamba; kutokana na alioeleza Naibu wa Mfalme na Naibu wa jopo la ushauri Mawaziri wa Saudia na Waziri wa mambo ya ndani umechukuliwa uamuzi wa kumuondosha mshauri wa Mfalme Abdulmuhsin Ibn Nasir Al Abikan kutoka na sababu zilizoelezwa na viongozi hao.
Abdulmuhsin Ibn Nasir Al Abikan alisema katika kipindi cha Radio; Utawala wa Saudia Arabia wazidi kumvulia Mwamke heshima yake kwa kufananisha na Mwamke wa Kimagharibi suala hili ni habari katika jamii ya Saudia Arabia.
Msimamizi wa Gazeti la Al Jazerah Khalid Al Malikiy alisema; maneno ya Abdulmuhsin Ibn Nasir Al Abikan ni ya upumbavu kwani Abdulmuhsin Ibn Nasir Al Abikan atumia elimu yake kwa maslahi yake bila kufikiria nini anachozungumza.
Ipo wazi Saudia Arabia baada ya kuona kuwa mshauri wa Mfalme hafai kwa kuwa kwake kinyume na maamrisho ya Mfalme ali`ngolewa na kufukuzwa kama Mbuzi.