Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Umoja wa Ulaya washambulia ngome ya maharamia Somalia
Namba: 315680 Tarehe: 2012/05/16 - 20:28Rejea: print

Afrika
Umoja wa Ulaya washambulia ngome ya maharamia Somalia

ABNA inatuarifu kuwa:Jeshi la nchi za jumuiya ya Ulaya limefanya mashambulizi ndani ya Somalia kwa mara kwanza tangu waanze doria katika eneo hilo.
 

 Umoja wa Ulaya  washambulia ngome ya maharamia Somalia
habari zinatueleza kuwa:Jeshi hilo ambalo lilisafirishwa na helikopta hadi bandari Haradhere, ambayo
inaamini kuwa kitovu cha maharamia ambao huvamia meli zinazo pita katika maeneo
ya bahari  karibu na Somalia.

Serikali mpito ya Somalia imethibitisha
mashambulizi hayo kwa kusema "mashambulizi hayo yalitokea kwa ushirikiano wa
pamoja kati ya jeshi la Somalia na jeshi la umoja wa Ulaya."
 yafaa kuashiria kuwa:maharamia
waliopo nchini Somalia wamekuwa wakiziteka nyara meli zinazo pita katika maeneo
yaliyopo karibu na bahari ya Somalia, nakusababisha hali ya usalama kuwa tete, jambo ambalo lililopelekea nchi kadhaa duniani kupeleka majeshi yao kwa ajili ya kulinda eneo hilo lenye kupitisha meli muhimu za mizigo.


 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani