Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Mkutano wa kundi la nchi 8 wafunguliwa rasmi
Namba: 316331 Tarehe: 2012/05/20 - 05:17Rejea: ABNA.irprint

Mkutano wa kundi la nchi 8 wafunguliwa rasmi

Mkutano mkuu wa kundi la nchi nane za viwanda unaofanyika kwa siku mbili, umefunguliwa rasmi jana jioni huko Camp David, Maryland, baada ya rais wa Marekani Barack Obama kukutana na viongozi wa nchi hizo. 

 Mkutano wa kundi la nchi 8 wafunguliwa rasmi


Obama ili kuvutia Nchi za Afrika na kujitoa kimasomaso ametangaza mpango wa kutoa dola za kimarekani milioni
3 kwa sekta binafsi kwa ajili ya usalama wa chakula na uzalishaji wa kilimo
katika nchi za Afrika, na kuzitaka nchi nyingine wajumbe kutekeleza sehemu yao.

Aidha amesema mataifa ya kundi la nchi hizo yana maadili, uchumi na usalama
mkubwa wa kuongoza mapambano dhidi ya njaa na utapiamlo katika Afrika, licha ya
kwamba nchi hizo zinakabiliana na changamoto ikiwemo kutoa ajira, hali ya nchi
zinazotumia euro na kurejesha hali ya uchumi wa dunia.




 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani