Mwanzo
Nyumbani
Links
Kurasa ya kijani
Tafuta
Habari Kamili
Habari Muhimu
kikao cha16 cha Viongozi wa NAM
Habari za Afrika
Habari za Iran
Habari za Ulaya
Habari za Amerika
Wanawake na Watoto
Sanaa & Michezo
Picha
Kurasa ya kijani
Qur-an
AhlulBayt (a.s)
Kumbukumbu
Makala
Haki za binadamu
Imam Mahdi
Uwahabi
Mafunzo na Riwaya
Hali mbaya ya kiuchumi Ugiriki kusababisha kujitoa katika umoja wa Ulaya
Namba: 317278
Tarehe
:
2012/05/24 - 12:35
Rejea:
print
Hali mbaya ya kiuchumi Ugiriki kusababisha kujitoa katika umoja wa Ulaya
Hali mbaya ya kiuchumi yapelekea Nchi ya Ugiriki kujitoa katika umoja wa Ulaya huku Viongozi wa Ulaya waelezea nia yao ya kuitaka Ugiriki kubaki katika umoja wa huo.
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameelezea nia
yao
ya kuitaka Ugiriki inayokumbwa na madeni kubaki katika eneo la nchi zinazotumia pesa ya Euro. Hata hivyo viongozi hao wameisihi Ugiriki kushikilia mfumo wa mageuzi ya kubana matumizi. Akizungumza na waandishi wa habari, mkuu wa baraza la umoja wa Ulaya Bw Herman Van Rompuy amesema viongozi wa Ulaya wanatambua juhudi zinazofanywa na Ugiriki na kuahidi kutoa misaada mingine ya fedha kuisaidia nchi hiyo.
Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
English
العربية
Français
اردو
Español
فارسی
Русский
中文
Deutsch
Türkçe
Azeri (cyr)
Azeri (ltin)
Melayu
Indonesia
বাংলা
हिन्दी
Swahili
Myanmar
Bosanski
ABP
sites
Habari za Zamani
-
Iran ni njia ya utatuzi wa masuala ya kitalii nchini Misri
-
Mufti wa Syria awasili mjni Cairo kwaajili ya kupata utatuzi wa matitizo ya Syria
-
Waziri mkuu wa zamani wa Malaysia aunana na Mursiy mjini Cairo
-
Unyama wa magaidi wa Syria
-
Msemaji wa Mursiy: Iran ni moja ya njia ya utatuzi wa machafuko ya Syria
-
Uchokozi wa Israel kwa kuvuka anga la Lebanon
-
Mamilioni ya Wananchi wa Misri leo kuhudhuria maandano ya kuinusuru Quds
-
Al azhar yahitaji balozi wa kizayuni kuwekwa kikao nchini Misri
-
Picha ilosambazwa ya Hujri Ibn Adiy kukadhibishwa
-
Picha ya mweili wa Hujri Ibn Adiy
-
Bomu lalipoka kanisani jijini Arusha
-
Maulmaa wote washirikiane kuzuia matendo yanayofanywa na makundi maovu
-
Mafumbo ya Imamu wa sala ya Jamaa nchini Misri kwa Muhammad Mursiy
-
Kaburi la swahaba wa Mtume(s.a.w.w) na Ally (a.s) lafukuliwa
-
Kwa baraka za Ayatullah Musawi Ardebili Mama wa Kijapani kuwa Shia+picha