Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Matokeo ya uchaguzi nchini Misri kutangazwa Juma nne ijayo
Namba: 317574 Tarehe: 2012/05/25 - 17:36Rejea: abnaprint

Afrika
Matokeo ya uchaguzi nchini Misri kutangazwa Juma nne ijayo

Tume ya uchaguzi nchini Misri yasema kuwa matokeo ya uchaguzi ya uraisi wa nchi hiyo yatatangazwa rasmi juma nne ijayo. 

 Matokeo ya uchaguzi nchini  Misri kutangazwa Juma nne ijayo

Shirika la Habari la Ahlul Bayt(as) ABNA likitoa habari kutoka Misri kuwa kuna tofauti ya idadi ya watu waloshiriki katika uchaguzi huo, lakini kitu muhimu kinachopaswa kuashiriwa ni umati ulomiminika kusihiriki  katika uchaguzi huo katika mikoa ya Cairo na Iskandaria na mahudhurio ya zaizi ya kati katika mikoa mingine. Hivyobasi kura zimeanza kuhesabiwa usiku wa jana na matokeo yatatangazwa juma nne, nakama hakutakuwa na mgombea alopata asilimia 50 za kura uchaguzi huo utarudiwa tena kwa mara ya pili, na kama italazimika kurudiwa basi utarudiwa baada ya wiki mpili.
Tume hiyo ya uchaguzi nayo imesema kuwa matokeo rasmi yanatarajiwa kutangazwa juma nne ijayo.  



 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani