Waloshiriki katika maandamano hayo wameashiria kutoridhishwa kwao na habari zilowafikia kuhusu kuingia Shafiq katika duru ya pili ya kinyanganyilo cha uchaguzi huo, wakisema idadi ya kura alozipa Shafiq katika mkoa huo sizakweli.
Waandamanaji hao wakionyesha kutomuafiki Ahmad Shafiq walisema kuwa Shafiq ni Mubaraka namba mbili na kusisistiza kuwa kuchaguliwa yeye nikuyafakisha katika sifuri mapinduzi yao. nao wameashiria kuwa kamwe hawataruhusu utawala wa kijeshi wa nchi hiyo kumuweka kibaraka wa Mubaraka katika kiti hicho.
Mmoja kati ya wanasiasa mashuri nchini humo Khalid Duwik amesema: wanamapinduzi hawatatulia iwapo Shafiq atapewa utawala … wananchi ndio wenye uamuzi wa mwisho nao hawamtaki Shafiq.
Pia imeripotiwa kuwa maandamano mengine makubwa yamefanyika katika mkoa wa Iskandaria, na waandamanaji ho pia wamesisitiza kutoafikiana na Shafiq nakutaka kuhakikiwa vizuri faili lake la ufisada katika zama za Mubara