Sambamba na kumbukumbu ya mwaka na tarehe alofariki Imam Khomain (r.a) kongamano la uchunguzi kunako nadharia za Imam Khomain na mwamko wa kiislamu katika ukumbi ulioko katika kituo cha tamaduni cha Irani nchini Ethiopia.
Kongamano hilo litahudhuriwa na walimu wa viuo vikuu, wanafunzi viuo hivyo na maulamaa wanchi hiyo. Watakao hutubu katika kongamano hilo watazungumzia nadharia na mitazamo ya Imam Khomain katika nyanja tofauti ikiwemo muamko wa kiislamu.