Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Ikhwanul Muslimina watangaza ushindi kwa mgombea wao nchini Misri
Namba: 323041 Tarehe: 2012/06/18 - 15:23Rejea: irnaprint

Afrika
Ikhwanul Muslimina watangaza ushindi kwa mgombea wao nchini Misri

Ushindi huoumetangazwa muda mchache tu baada ya utawala wa kijeshi wa nchi hiyo kutangaza kunyimwa hadhi na nguvu ya(kutunga, kuamua) kwa bunge la nchi hiyo mpaka utakapoisha uchaguzi na kupatikana Rais, na kuanzia sasa bunge hilo likochini ya Serikali hiyo ya kigeshi. 

 Ikhwanul Muslimina watangaza ushindi kwa mgombea wao nchini Misri
Kikundi cha Ikhwanul Muslimina imetoa ujumbe asubuhi ya leo katika mtandao wa Twitter kuwa Dokta Muhammad Mirsiy ndiye Rais wa kwanza wa uchaguzi huru ulofanyika nchi humo.
Kikundi hicho kiliyatangaza hayo baada ya kuhesabiwa kura zote na kupata ushindi mgombea wa chama hicho,  na kumtangaza kuwa yeye ndiye Rais wa Misri, ama mpaka hivi sasa tume ya uchaguzi bado haijatoa matokeo ya uchaguzi huo.
 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani