Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Sherehe za ufunguzi wa Lugha ya Myanmar katika shirika la habari la ABNA
Namba: 323173 Tarehe: 2012/06/19 - 09:11Rejea: ABNA.irprint

ABNA kusonga mbele katika huduma
Sherehe za ufunguzi wa Lugha ya Myanmar katika shirika la habari la ABNA

Siku ya Jumatano shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- kufungaua rasmi Lugha ya Myanmar katika shirika hilo, na kuwa Lugha ya 18 katika shirika hilo la habari. 

 Sherehe za ufunguzi wa Lugha ya Myanmar katika shirika la habari la ABNA

Ripoti ya shirika la Ahkul Bayt(as)-ABNA- Katika masiku matukufu ya Mwezi wa Rajab na kupata baraka za Idi ya Mab`ath Lugha ya Myanmar itakuwa tayari na kufunguliwa rasmi siku ya Jumatano.

Sherehe hizo zitafanyika siku ya Jumatano Tarehe 20/6/2012  saa 13:15 kwa majira ya Tehran, na sherehe hizo zitahudhuriwa na kufunguliwa rasmi na Msaidizi wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) na Ayatullah Husaini Bushehery.

Pia katika sherehe hizo kutakua na maonyesho ya Vitabu vipya vya Jumuiya  ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as).

Lugha ya Myanmar ni Lugha ya 18 katika shirika la habari la Ahlul Bayt(as) ABNA.

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani