Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Mpango wa Kofi Annan wakubalika kuhusu Siria
Namba: 326427 Tarehe: 2012/07/03 - 10:41Rejea: print

Mpango wa Kofi Annan wakubalika kuhusu Siria

ABNA inatuhabarisha kuwa:Viongozi wa nchi zenye nguvu duniani wamekubaliana kwa pamoja na mpago wa Kofi Annan ya kuwa siria inahitaji serikali ya mpito. 

 Mpango wa  Kofi Annan wakubalika kuhusu Siria

Kofi Annan, ambaye anasimamia mpango wa amani nchi Siria alisema " wakati umefika sasa wa kushirikiana na serikali ya Siria inatakiwa iwajumuishe wapinzani wake katika kuongoza serikali."
Mkutano huo ambao uliudhurriwa na viongozi wa Urusi, Marekani, Uingereza China na wajumbe wa jumuiya ya Ulaya walikubaliana kwa pamoja kuwa  ufumbuzi wa tatizo la kisiasa nchini Siria  ni kuhakikisha ya kuwa serikali ya mpito inaundwa ili kusimamisha   machafuko ya nchi hiyo.
   mpango huu umekuja baada ya mataifa ya Ulaya kushindwa kuivamia Siria kotokana na kwa kuhofia  upinzani mkali kutoka kwa Urus,China na Jamhuri ya kiislam ya Iran

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani