Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Libya:yapinga uchaguzi wa bunge lake kwa kuhofuia vita ya kikabila
Namba: 327290 Tarehe: 2012/07/07 - 08:16Rejea: abnaprint

Afrika
Libya:yapinga uchaguzi wa bunge lake kwa kuhofuia vita ya kikabila

Mmoja kati ya wanasiasa wa Libya amesema uchaguzi utakaofanyika nchini humo hutakuwa wa kisheria kwa sababu hujapangiliwa ipasavyo kwani yamezingatiwa masuala ya kisiasa na baadhi ya vyama kitu ambacho kinaweza sababisha vita ya kikabila. 

 Libya:yapinga uchaguzi wa bunge lake kwa kuhofuia vita ya kikabila

Amesema mpinzani wa serikali ya Libya(Muhamad Saidi Saitiy): uchaguzi utakao fanyika juma mosi yalio hautakuwa wakisheria na haki kwani haupo katika misingi ya kisheria na uadilifu katika makabila yaliopo nchini humo, na baadhi ya makabila hayo kupinga mpangilio wa viti vya bunge kwakutohusishwa baadhi ya makabila makubwa ya nchini Libya.

Pia kiongozi huyo amepinga vikali uchaguzi huo kwa sababu ya kushirikishwa baadhi ya vikundi vya kisiasa na vyengine kuto shirikishwa, kitu ambacho kinaweza kusababisha machafuko makali ya kikabila nchini humo

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani