| Namba: 327856 | Tarehe: 2012/07/09 - 15:27 | Rejea: | print |
Afrika Obama amkaribisha Mursiy Marekani |
Mmoja kati ya viongozi wa Misri siku ya juma pili ametangaza kuwa Rais Baraka Obama wa jamhuri ya Amerika amemtaka Rais Muhammad Mursiy wa jamhuri ya Misri kuitembelea nchi hiyo mnamo mwezi wa tisa.
Habari kutoka misri zinasema baada ya safari ya muakilishi wa wizara ya mambo ya nje ya Serikali ya Amerika, mmoja kati ya viongozi wa Misri amesema Rais wa marekani Baraka Obama ametoa wetu kwa Rais mteule wa Misri Muhammad Mursiy kuizuru nchi yake mnamo mwezi wa tisa katika kushiriki kikao cha umoja wa mataifa nchini humo.