Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Hitani yatambulika kisheria Ujerumani
Namba: 328936 Tarehe: 2012/07/14 - 08:35Rejea: print

Hitani yatambulika kisheria Ujerumani

ABNA inatuarifu kuwa:Kansela wa Ujerumani ameunga mkono mwenendo wa dini Kiislam
na mayahudi wa kutahiri watoto wa kiume. 

 Hitani yatambulika kisheria Ujerumani
Uungaji  mkono huu umedhihiri baaada ya tabibu mmoja kufutiwa hatia mahakamani baada ya kusababisha maumivu kwa mtoto aliye mtahiri, ambapo inadaiwa kuwa mtoto huyo alikutwa na matatizo ya kiafya kutokana kutahiliwa huko.
  yafaa kuashiria kuwa kitendo cha kutahiri watoto wa kiume kinafaida nyingi sana licha ya kutekeleza na kuendeleza turathi na mafunzo ya manabii.
   Hata hivyo kitendo cha kutailiwa kimekuwa kinaleta mvutano katika jamii nchi Ujerumani huku wengine wakipinga na wengine wakiunga mkono.

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani