Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Ombi la Israel dhidi ya Hizbollah lakataliwa
Namba: 331559 Tarehe: 2012/07/25 - 11:13Rejea: print

Mashariki ya kati
Ombi la Israel dhidi ya Hizbollah lakataliwa

ABNA inatuarifu kuwa:Jumuiya ya nchi za Ulaya imelikataa ombi la Israel la kutaka kundi la wanamapambano la Hizbullah llilipo Lebanon kuingizwa katika orodha ya makundi ya kigaidi. 

 Ombi la Israel dhidi ya Hizbollah lakataliwa
Waziri wa mambo ya nje ya nchi wa Cyprus Erato Kozakou-Marcoullis ambaye
nchi yake ndiyo inayoshikilia hatamu ya urais wa nchi za jumiya ya Ulaya alisema
"kwa sasa hakuna muafaka wa kuliunganisha kundi la Hizbullah katika urodha  ya makundi ya 
makundi ya kigaidi."

ombi hilo la utawala dhaifu wa Israel umekuja baada ya utawala huo kushindwa kulikabiliana na kundi hili na hatimaye kutumia njia hii kuliangamiza kundi hili linalotetea haki za wananchi wa Lebanon.
 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani