| Namba: 334140 | Tarehe: 2012/08/03 - 22:11 | Rejea: abna.ir | print |
Muamko wa Kiislamu Utumiaji wa gesi ya sumu dhidi ya waandamanaji Bahrain yaongoza Duniani + Picha |
Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- New York Times imeripoti kuwa utawala wa Bahrain umevuka mipka ya Kimataifa kwa kuzidi kutumia gesi ya sumu dhidi ya waandamanaji, ila watetezi wa haki za Binadamu wamekaa kimya kwa vitendo hivyo.
Gazeti hilo limeendelea kuripoti kuwa: Kundi la Madaktari Bahrain wameeleza kuwa; waathirika wa gesi ya sumu Nchi humo kila siku yaendelea kuzidi kwani kila siku utawala wa Bahrain wazidi kutumia mabomu ya gesi za sumu dhidi ya Wananchi.

Kundi hilo la madaktari pia limearifu kuwa; Mambo wanayofanyiwa Wananchi wa Bahrain na utawala wa Nchi hiyo ni mambo ambayo yapo kunyume na haki za Binadamu na watetezi wa haki za lazima wasikalie kimya suala hili.

