Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



WANAFUNZI WA KIISLAM WATEMBELEA KITUO CHA YATIMA
Namba: 334911 Tarehe: 2012/08/07 - 03:35Rejea: print

Tanzania
WANAFUNZI WA KIISLAM WATEMBELEA KITUO CHA YATIMA

ABNA inatuarifu kuwa:Jumuiya ya kiislam ya wanafunzi wa shule za upili wa jiji la Mwanza Tanzania(TAMSA) wametembelea kituo cha watoto yatima cha TULEANE.
 

 WANAFUNZI WA KIISLAM WATEMBELEA KITUO CHA YATIMA
wanafunzi hao wa kiislam leo wamewatembelea kituo hicho  wakiadhimisha na kutukuza mwezi mtukufu wa ramadhani ambapo waliwafaariji na kuwapatia zawadi watoto hao.
jumuiaya ya TAMSA imekuwa ikihamasisha na kushajiisha wanafunzi wa shule mbalimbali kujitolea kusaidia wahitaji kwa hali na mali.
jumuiya hii inayosimamiwa na Ustadh: Rusheke imekuwa ikihamasisha kusoma kwa bidii kutembelea wagonjwa na kusaidia mayatima na masikini.

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani