Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Mursiy: Wadhifa wetu kitaifa ni kulipa kisasi cha damu za mashahidi wetu
Namba: 336204 Tarehe: 2012/08/12 - 03:46Rejea: print

afrika
Mursiy: Wadhifa wetu kitaifa ni kulipa kisasi cha damu za mashahidi wetu

Rais wa jamhuri ya Misri katika safari yake mkoani Arishi sehemu za jangwa la sinaa amesema: kulipa kisasi cha damu za mashahidi walouwawa katika maeneo hayo ni wadhifa wetu wa kitaifa

 

 Mursiy: Wadhifa wetu kitaifa ni kulipa kisasi cha damu za mashahidi wetu

Muhammad Mursiy amesisitiza udharura wa kulipiza kwa kitendo hicho walichofanyiwa wanajeshi wake walokuwa wakilinda mipaka ya nchi hiyo katika jangwa la Sinaa, hii ni safari yakwa ya pili Rais huyo mkoani humo abayo imetokea baada ya mauaji ya wanajeshi walinzi wa mipaka ya Rafah, katika safari yake ya kwanza mkoani humo, Rais huyo alizungumza na wanajeshi tu kitu ambacho kilipelekea kwa wananchi wa mkoa huo kuto ridhishwa na kitendo hicho, ama baada ya vyanzu vya ulinzi kutangza ujio wa Rais hiyo wananchi wametega masikio kujua ratiba za kiongozi wao huyo lakini mpaka sasa hazija fahamika ratiba zake ama kilichoonekana ni silaha za kivita vya kuongeza nguvu ya kijeshi katika mipaka hiyo ambavyo ni vifaru 50 na wanajeshi miamoja.

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani