| Namba: 271163 | Tarehe: 1390/00/00 | Rejea: | print |
Uislamu na Jamii Nimevaa hijabu ili niwe karibu na Mwenyezi Mungu |
Masha baada ya kukubali Uislamu alikuwa ni Mwamke wakirusia, Muimba Muziki, Mshiriki wa Model wa Dunia kukubali Uislamu.
Ripoti ya ABNA- Na haya ni mazungumzo yaliofanyika baina ya Mwandishi wa habari na Masha;
-ikikuwaje kukubali Uislamu?
Masha:Mwanyezi Mungu kanisaidia katika hilo na huu ni uwezo wake Allah.
-kipindi ulichokua Muimba Muziki je ulifikiria kama Siku utakuwa Muislamu?
Masha:la hasha Sikufikiria hata kamwe kama inaweza kutokea kuwa Muislamu.
-Je kunajia zozote zile ulizopitia katika kusaidia kuwa Muislamu?
Masha:nilipo kuwa Muislamu nilikuwa na Rafiki yangu alitokewana na matatizo na kuwekwa katika komaa(kutozungumza au kusema au harakati yoyote ile) nilifikiria njia ya kumsadia Rafiki yangu ni kumuombea Dua ni swali na kumuomba mola amsadie Rafiki yangu baada ya Dua yangu alipona na kunipigia Simu na kunieleza kuwa mimi ndie niliemsaidia kupona katika Maradhi yake, tokea kipindi kile nilibadilika na kuwa tofauti.
-unakazi gani kwa sasa?
Masha:sasa ni Mwalimu wa Chuo kikuu.
-Je hadi sasa bado unasikiliza Muziki?
Masha:Ndio bado nasikiliza Muziki wa kundi la Raihan kundi la Sami Yusuf.
-Je unapoangalia Picha zako katika Internet haukasiriki?
Masha:mie mwenyewe sitaki kuona Picha hizo ila si vibaya Watu wazione na kuzingatia kuwa kunauwezekano wa kuzaliwa mara ya pili na kufikiria machafu tukilio fanya hapo kabla.
-Ni kitu gani unaweza kuwambia Watu kunako Uislamu?
Masha:Uislamu unasema; ni lazima kumjua Mwenyezi Mungu na kama hatutoweza tujitahidi kumjua ili kuondokwa na Madhambi, Kiburi, Husda n.k.
-Ama kwa wasio kuwa Waislamu utaambia vipi?
Masha: kwa wale bado hawajakuwa Waislamu wajitahidi kujia haki na kuacha Imani za ujinga.
