Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  

Qur'ani za Kichina zakusanywa katika masoko ya Misri
Namba: 272588 Tarehe: 1390/00/00Rejea: iqnaprint

Qur'ani za Kichina zakusanywa katika masoko ya Misri

Jumuiya ya Uhakiki wa Kiislamu ya al Azhar huko Misri imeamuru kukusanywa nakala zote za Qur'ani zilizochapishwa nchini China kutoka kwenye masoko ya nchi hiyo kutokana na kuwa na makosa ya kichapa na kimaandishi. 

 Qur

Afisa anayehusika kutoa vibali vya kuchapisha Qur'ani katika Kituo cha Kiislamu cha al Azhar Dhiauddin Muhammad amesema kuwa amri ya kukusanywa nakala zote za Qur'ani zilizochapishwa China imetolewa kutokana na makosa ya kichapa na kimaandishi yaliyomo katika nakala hizo.

Ameongeza kuwa nakala hizo za Qur'ani kutoka China zinazouzwa kwa bei ya chini katika masoko ya Misri zimejaa makosa makubwa ambayo hayawezi kufumbiwa macho.

Afisa huyo wa al Azhar amezitaka nchi za Kiislamu kuchukua msimamo mmoja wa kuilazimisha China isitishe uchapishaji wa nakala za Qur'ani na kuongeza kuwa hatua kali zinapaswa kuchukuliwa ili tusije kuona Israel pia inachapisha nakala za Qur'ani na kuzigawa bure
 
Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani