Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Mawahabi wa Saudia kumpa Saadi Gaddafi Himaya
Namba: 275655 Tarehe: 1390/00/00Rejea: ABNAprint

Uwahabi na Siasa
Mawahabi wa Saudia kumpa Saadi Gaddafi Himaya

Mwana wa dikteta wa zamani wa Libya Saadi Gaddafi Jumamosi iliyopita alipelekwa Jiddah Saudi Arabia akitokea Niger na kupewa himaya na Mawahabi wa nchi hiyo. 

 Mawahabi wa Saudia kumpa Saadi Gaddafi Himaya

Ripoti ya ABNA inaeleza kuwa; Gazeti la al Watan la Saudi Arabia limeripoti kuwa Saadi Gaddafi aliwasili nchini humo akifuatana na kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Saudia.

Gazeti hilo limeripoti kuwa Saadi alipelekwa Saudia na ndege ya Uturuki na kwamba safari hiyo imetayarishwa na Mawahabi wa nchi hiyo.

Ni vyema kukumbusha kuwa Saadi Gaddafi alikimbilia Niger baada ya mji wa Tripoli kutekwa na wanamapinduzi wa Libya na kusambaratika serikali ya baba yake, Muammar Gaddafi.

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani