Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  

Qari wa Iran kushiriki katika mashindano ya Qur’ani Sudan
Namba: 287282 Tarehe: 1390/00/00Rejea: print

Qari wa Iran kushiriki katika mashindano ya Qur’ani Sudan

Mohammad Mahdi Haqguyan, qari wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran atashiriiki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani yatakayofanyika Sudan. 

 Qari wa Iran kushiriki katika mashindano ya Qur’ani Sudan
Mohammad Mahdi Haqguyan, qari wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran atashiriiki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani yatakayofanyika Sudan.
Qari huyo wa kimataifa amealikwa kushiriki katika mashindano ya Qur’ani yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Qur’ani ya Sudan kati kati mwa mwezi Januari mwaka 2012.
Qari huyo wa Iran atashiriki katika mashindano hayo kupitia Shirika la Awqaf la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Mohammad Mahdi Haqguyan ni qari mwenye umri wa miaka 14 na alianza kuhifadhi Qur’ani akiwa na umri wa miaka 8 na kufanikiwa kuhifadhi kikamilifu Qur’ani nzima baada ya miaka miwili. 

Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani