| Namba: 307940 | Tarehe: 2012/04/11 - 11:43 | Rejea: | print |
Mashariki ya kati Iran yavunja ngome ya majasusi |
baada ya kukamatwa majasusi hao, ushahidi umeonekana kuwa baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani na waitifaki wao ndio wanao watuma majasusi hao.
anuai za siraha na mitambo mingine ya hali ya juu ya kijasusi ilikamatwa katika tukio hilo.
yafaa kuashiria kwamba maadui wa maendelea ya serikali ya kiislam ya Iran wamekuwa wakitumia hila mbalimbali kuhakikisha kwamba wanazuia urutubishaji wa nyukilia wa njia ya amani unaofanyika nchini humo.