| Namba: 308688 | Tarehe: 2012/04/14 - 21:25 | Rejea: | print |
MISRI Mamilioni ya wamisri waandamana katika viwanja vya Tahriri kuhami mapinduzi yao |
Waandamanaji nao wamesisitiza
kutokubali katu kufanya sulhu na walioshiriki kumwaga Damu za wananchi,
kuharibu mazingira ya kisiasa, kudhulumu mali za wananchi, kusadia madhalimu
katika kuharibu jamii ya kibinadamu.
Katika hali hiyo pia Bunge la Misri
nalo limepitisha mswada wa kutoruhusiwa kugombea urais waliokua na nyadhifa
katika Serikali ya zamani hasa waliokuwa na nyadhifa kama vile: Urais, Naibu
Rais, Waziri mkuu na…