| Namba: 311821 | Tarehe: 2012/04/29 - 12:47 | Rejea: ABNA | print |
Iran Mwenye kutenganisha Falsafa na dini anamtazamo finyu |
Alim na mwanafalsafa mkubwa wa kiislam Ayatollah Misbah Yazd, aliyasema hayo
alipokuwa kwenye kongamano la uhusiano wa dini na Sayansi lililofanyika katika mji mtukufu wa Qom Iran.
kongamano hilo lilihudhuriwa na madokta na wanazuoni mbalimbali wa Iran.
alimu huyo aliashiria kuwa falsafa na dini haziwezi kutengana kwani zote zinalenga na kuashiria sababu ya kuwepo ulimwengu huu.
alibainisha kwa kusema:tunaposema elimu ya dini tunamaanisha mafunzo na taaluma zinazozungumziwa katika dini na tunaporejea katika maandiko ya dini tukufu ya kiislam tunakuta kunamasuala ya tafakuri,tabasuri na taamuli ambayo ndio msingi na muhimili wa elimu ya falsafa.
aliongeza kwa kusema:dini inamwongoza mtu na kumfikisha katika kilele cha utulivu