| Namba: 312547 | Tarehe: 2012/05/02 - 16:01 | Rejea: ABNA | print |
Mashariki yakati Mgombea ubunge auawa Syria |
Abdulhamiid Hassan Altwah ambaye alikuwa ni mgombea wa umbunge wa jimbo la kusini mwa Syria,amevamiwa leo na kundi la waasi wenye silaha na kuuawa akiwa katika uwanja wa Basari.
yafaa kuashiria kuwa hapo kabla waasi hao walimteka mgombea mwingine wa ubunge na wanafanya juhudi zao zoote kuhakikisha wanaharibu uchaguziujao.