Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Sarkozy kuangushwa chini
Namba: 313828 Tarehe: 2012/05/09 - 03:07Rejea: Abna.irprint

Athari za muamko wa Kiislamu
Sarkozy kuangushwa chini

Chana cha mrengo wa kulia kushindwa uchaguzi wa urais Ufaransa baada ya miaka 17, sababu yake ni kuiga msimamo walokuwa nao Waislamu, kuiga kile kinacho tokea katika Nchi za Kiislamu kama Misri, Libya, Bahrain, Yemen, Tunisia na Saudia Arabia, yote hhayo ni kuonyesha Ulimwengu kuwa Wafaransa nao waweza leta mageuzi na mabadiliko ya Nchi yao. 

 Sarkozy kuangushwa chini

Bw Francois Hollande amechaguliwa kuwa rais wa Ufaransa
baada ya kumshinda mpinzani wake ambaye ni rais wa sasa Bw Nicolas Sarkozy,
katika duru ya pili ya upigaji kura ya uchaguzi mkuu iliyofanyika siku ya Jumapili. Kwa
mujibu wa matokeo ya awali yaliyotangazwa na wizara ya mambo ya ndani ya
Ufaransa, Bw Hollande mgombea kutoka chama cha mrengo wa kushoto amepata
asilimia 51.24 ya kura huku Bw Sarkozy wa chama cha mrengo wa kulia akipata
asilimia 48.76 ya kura. Ushindi wa Bw Hollande umemaliza hali ya watu wa mrengo
wa kulia kuhodhi nafasi ya urais katika miaka 17 iliyopita.


 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani