Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Waisrael wataka waafrika warudishwe kwao
Namba: 317470 Tarehe: 2012/05/25 - 10:20Rejea: print

Mashariki ya kati
Waisrael wataka waafrika warudishwe kwao

ABNA inatuarifu kuwa:Maelfu ya wananchi nchi wa utawala haramu wa Israel wamenadamana wakipinga ongezeko la wahajiri wa kiafrika nchini mwao 

202303_m.jpg


 

Maandamano hayo shadidi ambayo yaliongozwa na Michael Ben Ari ambaye ni mbuge kwa tiketi ya  chama cha National Union Part na Ben-Guir na Baruch Marzel ambao ni waandishi wa habari wenye msimamo mkali wa kisiasa.
Waandamanaji hao walishika mabango yaloandikwa "Afrika inahitaji misaada si makazi" pia waandamanaji hao walipinga na kuilaumu serikali ya ghasibu ya Benyamin Tetanyahu kwa kudai ya kuwa haijachukua jukumu lolote katika kukabiliana na wahajiri hao.
Yafaa kuashiria kuwa utawala ghasibu wa Israel umekuwa ukipokea wahajiri kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Sudan.
 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani