Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Ombi la kukamatwa Rais wa zamani wa Chad
Namba: 330618 Tarehe: 2012/07/21 - 17:09Rejea: print

Afrika
Ombi la kukamatwa Rais wa zamani wa Chad

ABNA inatuarifu kuwa:Mahakama ya kimataifa inayoshughulikia makosa ya ukiukaji wahaki za binadamu iliyoko Ubeligiji, imetaka aliyekuwa rais wa Chad akamatwe ili ajibu mashitaka ya kukiuka haki za binadamu. 

 Ombi la kukamatwa  Rais wa zamani wa Chad
Hissene Habre, anashitakiwa kwa makosa ya kukiuka haki za binadamu wakati wa utawala wake mnano miaka ya 1982 - 1990.
Kesi hii dhidi ya Hissene Hebre ilifunguliwa na raia wa Ubeligiji mwenye asili ya Chad kwa madai  kuwa wakati wa utawala wa  Hissene Hebre watu wapatao 40,000 waliteswa na hata wengine kupoteza maisha.
Hissene Hebre yupo ukimbizini nchi Senegal ambako alikimbilia baada ya utawala wake kuondolewa.
 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani