Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Kushikwa mtegaji wa mabomu katika Haram ya Sayyidat Zainab(as) Syria
Namba: 330979 Tarehe: 2012/07/23 - 01:48Rejea: ABNA.irprint

Fitina za Mawahabi
Kushikwa mtegaji wa mabomu katika Haram ya Sayyidat Zainab(as) Syria

Vyombo vya habari vya Kiwahabi katika siku hizi vyaomba kuvunjwa Haram ya Sayyidat Zainab(as), maombi hayo hayakusikilizwa na kuona hatua ya kuchukua ni kuagiza watu tofauti kwa kuiripua Haram hiyo, kutokana na msimamo huo wa Kiwahabi mnamo siku zilizopita alishikwa Mhabi mmoja alietega mabomu katika Gari ilokuwa pembezoni mwa Haram ya Sayyidat Zainab(as). 

 Kushikwa mtegaji wa mabomu katika Haram ya Sayyidat Zainab(as) Syria

Ripoti ya shirika la  habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Dakika kadhaa zilopita alishikwa Mhabi mmoja alotaka kuripua Haram ya Sayyidat Zainab(as) na lango lake lilikuwa ni kuingia katika Haram ya Sayyidat Zainab(as).

Jeshi la Syria limeeleza kuwa Vijiji vitatu vimeshasafishwa na kufukuza Mawahabi wote wanaojiripua kwa madai ya kwenda Peponi.

La kustaajabisha ni kwamba wanaodaiwa kuwa ni wanamapinduzi siku zilopita waliazimia kuvunja Haram ya Sayyidat Zainab(as) ila Jeshi la Syria halikuruhusu kufanyika kitendo hicho walifukuza waasi wote katika eneo tukufu la Zainabiya Syria.

Vyombo vya habari vya Kiwahabi vya hamasisha watu kuvunja na kuwapa watu hao Mabilioni ya Pesa ili wafikie katika malengo yao, aidha kundi la Mawahabi watowa msada kwa Waasi wa Syria lengo lao ni kuleta ugonvi na Vita ya Makabila Nchini humo.    
 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani