Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



kujichoma moto Waisrael na kuanza maandamano nchini humo
Namba: 331184 Tarehe: 2012/07/23 - 20:00Rejea: ABNA.irprint

Nini kinachotokea Israel?!!
kujichoma moto Waisrael na kuanza maandamano nchini humo

Vyombo vya habari vya Israel vimeeleza kuwa leo na jana wamejichoma watu 2 kwa kupinga siasa mbaya ya Nchi hiyo na kutopatikana ajira Nchini humo, Aidha Jeshi la Israel limeeleza kuwa hali hiyo itasababisha maandamano na vita baridi ndani ya Nchi. 

 kujichoma moto Waisrael na kuanza maandamano nchini humo

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Televisheni ya Israel CANAL 10 imeripoti kuwa hali mbaya Nchi ya sababisha watu sasa kuamka na kufanya mambo ambayo hayakutarajiwa kufanyika kama jichoma moto mtu mmoja mwenye umri wa miaka 50 aliekuwa mlemavu wa miguu baada ya kupatwa na hasira alijichoma moto na 80% ya mwili wake iliungua vibaya hadi sasa yupo Hospitali maututi.

Pia jana baada kujichoma moto mtu huyo watu wa 4 pia walitaka kujichoma ila Polisi waliwahi kufika haraka kabla kujichoma.

Aidha leo mtu mwengine alijichoma baada ya kushikwa na hasira kama mtu jana kwa madai ya kuwa Serikali ya Israel haijali Wananchi wake kutokana hali iloikabili Nchi hiyo.

Kujichoma Salomon jana imesababisha wengi kuchukua hatua kama yake ili kufikia katika mahitaji yao kwani kadri wanavyoandamana Serikali ya Israel haijali nini wahitaji Wananchi.

Uliwengu wasubiri nini kitakachotokea Israel kwa dhuluma wanayowafanyia Wapalestina,  fimbo ya Mwenyezi Mungu sasa yawakun`guta.

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani