Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Rais wa Ghana afariki dunia
Namba: 331554 Tarehe: 2012/07/25 - 11:02Rejea: print

Afrika
Rais wa Ghana afariki dunia

ABNA inatuarifu kuwa: Rais wa Ghana John Atta Mills amefariki wakati alipokuwa akipata matibabu.Wananchi na wakazi wa Ghana, wameanza maombelezi mara tu baada ya taarifa za kufariki kwake. 

 Rais wa Ghana afariki dunia

Hayati rais John Atta Mills 68 ambaye alichaguliwa kuwa rais wa
Ghana kwa kumshinda mpinzani wake Nana Akufo-Addo kwa kiasi kidogo cha
kura mwaka 2008.


Kufuatia kifo cha rais Attap-Mill, makamu wake wa urais John Dramani
Mahama ameapishwa kuwa rais wa Ghana kuanzia sasa mpaka hapo uchaguzi wa
rais mpya utakapo anza mwisho wa mwaka huu.


 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani