Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Vyombo vya Kimagharibi kutumia Photoshop kudanganya watu kunako hali ya Syria
Namba: 333133 Tarehe: 2012/07/30 - 23:28Rejea: ABNA.irprint

Je! yanayosemwa kunako Syria ni kweli?
Vyombo vya Kimagharibi kutumia Photoshop kudanganya watu kunako hali ya Syria

Vyombo vya habari vya Kimagharibi vyatumia Photoshop konyesha kuwa hali ya Syria ni mbaya huku wakisambaza Picha za uongo katika Magazeti yao kudanganya watu.

 

 Vyombo vya Kimagharibi kutumia Photoshop kudanganya watu kunako hali ya Syria

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Vyombo vya habari vya Ulaya kutumia Programu ya Photoshop kwa kutishia watu kuwa hali ya Syria ni mbaya ili kuonyesha watu kuwa Syria kunamapigano makali na kusambaza picha za uongo ili kuvutia watu.

Picha ya kwanza ya chini ilisambazwa na shirika la habari la EPA tarehe 26/July/2012, na baada ya siku moja picha hiyo hiyo baada ya kubadilishwa na Photoshop picha ya juu ilisambazwa na shirika la habari la KRONE tarehe 28/7/2012.

Usambazaji wa habari kama huu upo kinyume na kanuni za Kimataifa na kuonyesha kuwa hawapo makini katika utoaji habari.

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani