Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Bashar Al-Asad awasifu wanajeshi wake
Namba: 333632 Tarehe: 2012/08/01 - 17:35Rejea: ABNA.irprint

Bashar Al-Asad awasifu wanajeshi wake

Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kwamba vita kati ya jeshi la nchi yake na waasi vitaamua hatima ya Syria. Amewapongeza pia wanajeshi wake kwa kupambana na kile alichokiita makundi ya magaidi wahalifu. 

 Bashar Al-Asad awasifu wanajeshi wake




Katika tamko alilolitoa kwenye maadhimisho ya siku ya jeshi nchini Syria,
rais Assad alisema kwamba hatima ya raia wa nchi hiyo, pamoja na taifa, kwa
ujumla, inategemea vita vinavyoendelea kati ya waasi na wanajeshi wa Syria.
Tangu kuuwawa kwa maafisa wakuu wa nne wa jeshi lake wiki mbili zilizopita,
Assad hajazungumza tena hadharani. Assad aliwasifu wanajeshi wake na kusema
kwamba ana imani kubwa na kile wanachokifanya.



 





 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani