![]() |
Msanii wa Kifaransa kukubali Uislam Diamas Msanii na mwimbaji muziki maarufu wa Ufaransa kukubali Uislam, akieleza kuwa fikira na mwenendo mbovu aliokuwanao ndio sababu ya kuingia katika Uislam, na swala na kusoma Quran kulinyoosha mambo yake.
|
![]() |
Nimevaa hijabu ili miwe Mama bora Shirika la habari ABNA limekwishatowa ripoti nyingi kunako visa vya watu mashuhuri walochagua hijabu kuwa vazi lao, kwa mara hii sihirika hili limetoa habari na ripot nyingene tena kunako uchaguaji wa hijabu kwa kueleza kuwa; Mwana Muziki maarufu wa Hip Hop Alisa Husainova kachagua hijabu kuwa vazi lake rasmi bila kujali umashuhuri alokuwa nao.
|
![]() |
Hijabu ni himaya ya Mwanamke Adhia kwa Mama wa Kiislamu aliechagua hijabu kuwa vazi lake Mama mmoja Muingereza aliekubali Uislamu na kuchagua hijabu kuwa vazi lake, kila siku njiani audhiwa na kufanyiwa maskhara yeye na Watoto wake kwa kuvaa kwake hijabu.
|
![]() |
Mafunzo ya jamii Kuvaa Hijabu kumenizidishia Rizki Halah Fakhir Msani wa Misri kachagua kuvaaji Hijabu kwa kusema:kuchagua kwagu Hijabu kumenizidishia Rizki.
|
![]() |
Mafunzo ya jamii Hanan Tark Msani wa Sinema kuacha kuekti Sinema Hanan Tark Mchezaji maarufu wa Tamthilia na Sinema wa Misri kwa kuvaa kwake Hijabu alisema:Muda kadhaa nilikuwa Nyota ya Ardhi ila sasa na muomba Mwenyezi Mungu anibadili kwa Nyota yake na Nyota ya Mbinguni.
|
![]() |
Mafunzo ya jamii Nimekuwa mvaaji wa Hijabu kuipenda Makkah na Madinah Msanii wa Aljeria baada kuenda Hijjah na kuacha kuimba muziki katika mwaka huu alisema:nimefikiria kuvaa Hijabu na kuacha kuimba muziki yote haya ni mapenzi ya Makkah na Madinah.
|
![]() |
Kikao cha kuboresha tovuti ya ABNA Kikao cha kujadili Maendeleo ya tovuti ya Abna Shirika la Habari la kimataifa la Ahlul Bayt
limefanya kikao cha kujadiri maendeleo na jinsi ya kuboresha Tovuti na
mitandao yake ya habari kwa ujumla.
|
![]() |
Uislamu na Jamii Nimevaa hijabu ili niwe karibu na Mwenyezi Mungu Miaka 2 iliopita Masha Alyalikina alikuwa ni msanii maarufu wa Rusia katika uimbaji Muziki na maonyesho ya Model katika Dunia na kuwa Mwanamke anaevutia Rusia na Duniani.
|
![]() |
Utulivu upo katika Uislamu Loren Both Mtangazaji na muandishi wa Habari Mngereza mwenye Umri wa miaka 43 baada ya Kuzuru Haram ya Hazrat Fatima Maasuma katika Mji wa Qum alikubali kuwa Uislamu ndiyo Dini yake.
|
![]() |
Palestina, mhanga wa chuki ya Wazayuni dhidi ya Uislamu Suala la Palestina na kukaliwa kwa mabavu Beitul Muqaddas, ni mgogoro wa kihistoria wa muda mrefu kati ya Waislamu na walowezi wa Kizayuni, mgogoro ambao umekuwa ukiongezeka kila mwaka.
|
![]() |
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu Ayatullah Ali Khamenei mwaka 1990. Ni Wajibu wa Kila Mtu Kutetea Mapambano ya Kiislamu ya Palestina
Hii leo ni jambo lisilokuwa na shaka ndani yake kwamba katika maisha ya Waislamu na upeo wa Kiislamu hakuna suala lenye umuhimu mkubwa zaidi ya kadhia ya Palestina.
|
![]() |
Sayyid Hasan Nasrullah:kuona picha ya Imam Musa Sadr ilinivutia kuwa Mwanafunzi wa Dini. Sayyid Hasan Nasrullah:kuona picha ya Imam Musa Sadr ilinivutia kuwa Mwanafunzi wa Dini.
|
![]() |
Imam Khomain na mapinduzi ya kiislamu katika mtazamo wa wanazuoni |
![]() |
Ayatullah Ali Khamenei: Kushikamana na Uislamu ndiyo njia ya uokovu |
![]() |
Imam Khomeini: "Amerika ni Chui wa Makaratasi" |