![]() |
Huu ndio Uwahabi Mufti wa Kiwahabi: Uchaguzi ni haramu Mmoja kati ya mamufti maarufu wa Kiwahabi aliharamisha mfumo wa uchaguzi kwa ajili kuchagua Rais, Waziri na Mbunge, Na kila aina ya uchaguzi wa serikali ni haramu kwa mujibu wa sheria ya Kiislamu.
|
![]() |
Uwahabi ni hatari Sheikh wa Kisalafi: Kuongelea umoja na Wakristo ni kufuru Sheikh wa Kisalafi nchini Misri na mwalimu wa Chuo Kikuu cha Al-Azhar alieleza kua; kuongelea umoja baina ya Waislamu na Wakristo ni fikira potovu, Na kila aina maongezi ya umoja baina ya makundi haya mawili ni kufuru, Aidha alituhumu kila mwenye kuongelea suala hilo kua ni kafiri!!.
|
![]() |
Fahamu Uwahabi HADITHI WANAZOTEGEMEA MAWAHABI |
![]() |
Uwahabi MTAZAMO WA QUR'AN KTK KUJENGA JUU YA MAKABURI |
![]() |
Fahamu kundi la Kiwahabi Fatwa mbovu nyengine ya Mufti wa Saudia Mufti wa Ali Saudi kafumbia macho yanayojiri Ulimwenguni kutoa Fatwa mbovu na kutojali fitina za Wamaghari na Maadui wa Uislam, kutoa Fatwa ya mahusiano ya Mume na Mke.
|
![]() |
Wahabi ni nani?! Msimamizi wa Televisheni ya Wesal ya Kiwahabi asujudu kwa kushikwa Ayatullah Namr Televisheni ya Wesal ya Kiwahabi na Tovuti zao wameonyesha kufurahi kwa kushikwa Ayatullah Sheikh Namr, na siku hiyo kuwa kwao Idi.
|
![]() |
Fahamu Uwahabi Sababu ya matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu ni Muawiyah na Abu Sufiani Mwazuoni mmoja wa Kisunni aliweka wazi kuwa matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu chanzo chake ni Muawiyah na Baba yake Abu Sufiani.
|
![]() |
Fahamu Uwahabi Toba baada ya kumtukana Mtume(saw) Muhammad Al arify mmoja kati ya jopo la Maulamaa wa Saudia Arabia aliomba msamaha baada ya kuongea maneno ya kumdhalililsha Mtukufu Mtume Muhammad(saw).
|
![]() |
Hatari ya Mawahabi katika jamii Gazeti la Tunisia la mkosoa Mwanazuoni wa Kiwahabi Gazeti la Tunisia lilipinga vikali maneno ya mtafaruku ya Mwanazuoni wa Kiwahabi wa Saudia Arabia, kuharamisha kukaa Baba na Mtoto wake wa Kike au kalala Chumba kimoja au kumbusu.
|
![]() |
Sheikh mmoja wa Kiwahabi amtukana Mtume(saw) Mwandishi mmoja wa Kiwahabi baada ya kumdhalilisha na kumtukana Mtume(saw) vyombo vya habari vya waarabu vilimuita kuwa ni “Salman Rushdiy wa Saudia Arabia”
|
![]() |
Uwahabai na jamii Mufti wa Saudia Arabia apinga Shairi Maarufu la kiislamu Mufti wa kiwahabi wa Saudia Arabia alipnga shairi maarufu la watu wa Yathriba(Madinah) pindi walipoenda kumpokea Mtume Muhammad(saw).
|
![]() |
Mawahabi ni hatari kwa Jamii Kuhami wazi wazi Mfalme wa Qatar kundi la Kiwahabi Mfalme wa Qatar alidai kuwa Ulimwengu wa kiislamu unahitaji Fikra na mwenendo wa kiwahabi.
|
![]() |
Uwahabi na Siasa Mawahabi wa Saudia kumpa Saadi Gaddafi Himaya Mwana wa dikteta wa zamani wa Libya Saadi Gaddafi Jumamosi iliyopita alipelekwa Jiddah Saudi Arabia akitokea Niger na kupewa himaya na Mawahabi wa nchi hiyo.
|
![]() |
Uwahabi Kukua fikra za Kiwahabi ni hatari kwa Uislamu Katika hali ambayo viongozi wa Saudi Arabia wanaonyesha msimamo laini na wa upole katika vyombo vya habari kuhusu madhehebu nyingine za Kiislamu, viongozi hao hao wanafanya propaganda kubwa za kueneza fikra za Kiwahabi katika nchi mbalimbali za Kiafrika.
|
![]() |
Uwahabi na Ulimwengu wa Kiislamu Kuharamishwa kandanda Nchini Saudia Arabia Mufti mmoja wa Saudi Arabia ametoa fatwa ya kuharamisha kucheza mpira wa miguu vijana wa Kiislamu kwa sababu tu mchezo huo umebuniwa na Mayahudi, Wakristo, makafiri, Marekani, Russia, Ufaransa na vibaraka wao.
|
![]() |
Uwahabi Sheikh Saffar akijibu dharau ya khatibu wa Msikiti wa Madina. Maulamaa wa Kiwahabi wanataka kuzusha fitina za kimadhehebu.
|
![]() |
Fitina za Mawahabi Fitina za Mawahabi katika mji mtakatifu wa Karbala Polisi ya Iraq imetangaza kuwa silisila ya milipuko ya mabomu imeutikisa mji huo mtakatifu hususan karibu ya jengo la serikali za mitaa linaloshughulikia masuala ya vitambulisho na hai za kusafiria.
|
![]() |
Uadui dhidi ya Uislamu Ukafiri wa Mawahabi Je! kunauhusiano gani wa Aya ya 36 ya Surat Yusuf na Kutiwa Jela Husni Mubarak?
|
![]() |
Ayatullah Sayyid Kamal Haidariy Sisi na Masuni tupo udande mmoja na Mawahabi wapo upande wao Kikao cha Tatu cha kukurubisha chenye Anuani ya “Njia sahihi za mahusiano za Mashia na Masuni” Kikao hicho kikihudhuriwa naAyatullah Allamah Sayyid Kamal Haidariy.
|
![]() |
Inaruhusiwa Kula Nyama ya Jinni Mmoja kati ya Mamufti wa Misri Aliruhusu kula Nyama ya Jinni
|
![]() |
DALILI ZA MAWAHABI ZA KUHARAMISHA KUOMBA SHAFAA |
![]() |
WANACHUONI WA KIWAHABI WANAJIPENDEKEZA KWA WATAWALA |
![]() |
WAISLAMU WA TA’IF NA MAKKAH WAPORWA NA KUUAWA |
![]() |
MISHENI YA KWANZA YA MAWAHHABI |
![]() |
UWAHHABI : ASILI NA KUENEA KWAKE |