Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Makala
- Makala



Elimu ya Tiba na historia yake sehemu ya pili Na:Mketo Matenga
Maisha ya Ibn siina(Avecina)
Makala iliopita tulieleza kwa ufupi Historia ya Tiba katika uisilamu, na kuashiria baadhi ya madaktari wa kiislamu, ambapo miungoni mwao alikuwa daktari mashuhuri Ibun Siina(Avecina). Ama katika makala hii nitazungumzia maisha yake kwa ufipi na kugusia baadhi ya nukta muhimu za Elimu ya Tiba katika Qur'an na mtazamo wake kunako masuala ya Tiba na taaluma mbalimbali za Tajiruba. Kuwa pamoja name ndugu msomaji katika kuangalia misingi ya kiislamu kunako Elimu za Tajiruba.

2012/10/22  20:01

tiba na historia yake sehemu ya kwanza Na: Mketo Matenga
Elimu ya Tiba na historia yake katika uislamu
Bismillah Rahmani Rahim Baada ya kumshukuru Mola muumba, nakumtakia rehema na amani mtukufu Mtume(s.a.w.w). Nachukua nafasi hii kuelezea kwa ufupi historia ya tiba kwa sura ya ujumla, na kisha kuangalia mtazamo wa dini ya kiislamu kunako tiba . Swali lipaswalo kujiuliza ni kwamba elimu ya tiba ilianza zama gani? Pia mtazamo wa uislamu kuhusu tiba ni upi? Ndugu msomaji tushirikiane ili kupata majibu mema yatakayo tunufaisha sisi na jamii kwa ujumla

2012/10/12  17:22

Akida sehemu ya Tatu Na:Sirkatundu
MAKUNDI KATIKA UISLAMU
Katika mada iliyopita nilielezea kuwa Ukhalifa au ungozi baada ya mtume saw ilikuwa ni sababu iliyopelekea waislamu kugawanyika makundi mawili Shia na Sunni

1390/00/00  20:28

Falsafa sehemu ya Tatu na: SirKatundu
Falfasa ya kiislamu
Bismillah Rahman Rahiim Katika mada ziliyopita nilielezea historia, maana na malengo ya falsafa kwa ufupi. Kama nilivyoashiria kuwa falsafa inazugumzia: ulimwengu, uhakika wa mambo, vyanzo na sababu za uwepo wa vitu kwa kutumia akili. Tunaporejea katika maandiko ya dini tukufu ya kiislam, tunakuta dini hii imeelezea vitu hivi, pia imesisitiza kunako kutafakari na kutadabari katika mambo haya. Qur an inamsitizia mwanadamu atazame ametoka wapi? na kwamba hakuumbwa bila malengo,pia inamsisitizia atafakari kunako uumbaji wa mbingu na nchi na mengineyo. Nahapa ndipo tunapokutana na falsafa ya kiislamu, falsafa ambayo misingi na asasi zake zinatokana na maandiko ya dini tukufu ya kiislamu. Kwa ibara nyingine tunaweza sema kuwa: falsafa ya kiislamu inabainisha ulimwengu, uhakika wa mambo, vyanzo na sababu za uwepo wa vitu kwa kutumia akili inayoungwa mkono na maandiko ya dini tukufu ya kiislamu.

1390/00/00  20:19

Makala ya Wiki
KUTEKWA KWA GILAD NI HATUA ZA MAFANIKIO KWA HAMAS
Gilad ni wajeshi wa Israel ambaye alitekwa na kupelekwa mafichoni na wanamgambo wa harakati za kutetea haki za nchi na wananchi wa madhulumu wa Parestina.

1390/00/00  19:13

Itikadi Sehemu ya Pili
Akida na:H.Katundu
AKIDA Tofauti katika masuala ya kifiqhi ndio sababu kuu ya kupatikana makundi ya kifqh kama vile madhehebu makuu manne ya kifqh kwa masunni ambayo ni Hanafii, Malikii, Shafii na Hanbalii makundi haya manne katika mtazamo wa kifqh yanatofautiana kwani kila moja kati ya makundi hayo yana rai yake binafsi ijapokuwa kuna wakati wanafikiana katika rai zao.

1390/00/00  6:44

Falsafa ya Kiislam
Falsafa sehemu ya pili Na:H.Katundu
Neno fasalfa si neno geni, kwani tumekuwa tukilisikia au kilitumia mara kwa mara katika mazungumzo yetu ya kila siku. Katika mada hii nitaelezea elimu ya Falsafa muhtasari. Neno Falsafa, linatokana na neno la kigiriki PHILOSOPHIA. Ambapo ni muunganiko wa maneno mawawili: PHILO na SOPHIA. Neno PHILO linamaanisha Upendo na neno SOPHIA lina maansiha hekima.

1390/00/00  22:21

Falsafa ya Kiislam
Falsafa
Neno fasalfa si neno geni, kwani tumekuwa tukilisikia au kilitumia mara kwa mara katika mazungumzo yetu ya kila siku. Katika mada hii nitaelezea elimu ya Falsafa muhtasari. Neno Falsafa, linatokana na neno la kigiriki PHILOSOPHIA. Ambapo ni muunganiko wa maneno mawawili: PHILO na SOPHIA. Neno PHILO linamaanisha Upendo na neno SOPHIA lina maansiha hekima.

1390/00/00  5:14

Itikadi sehemu ya kwanza
Akida
AKIDA Akida ni moja kati ya elimu muhimu kwa kila muislamu, elimu hii inaongelea (mizizi ya dini) au itikadi za kiislamuambazo kila muislamu anatakiwa kuwa na imani nazo. Kwa jina jingine, elimu hii huitwa “Kalaam” (Islamic Theology). Kwa mukhtasari tunaweza sema kuwa: Elimu hii inazungumzia misingi ya dini ya kiislamu (Usuulu din)

1390/00/00  5:02

Makala zetu
Msikiti wa kwanza wajengwa Athens
Bunge la Ugiriki hatimaye limetoa kibali cha kujengwa msikiti wa kwanza mkuu mjini Athens, ambao ni mji mkuu wa nchi hiyo, jambo ambalo limekuwa likijadiliwa kwa muda mrefu nchini humo.

1390/00/00  21:39

Makala maalumu
Tukio la 9/11, kisingizio cha vita dhidi ya Uislamu
Leo ikiwa ni kumbukumbu ya matukio ya September 11, nchini Marekani, wataalamu wa masuala ya kisiasa wanasema Marekani inatumia matukio hayo kuendeleza vita na chuki dhidi ya Uislamu duniani.

1390/00/00  21:56

Ibada ya Hijja ni chemchemi safi inayoweza kuwatakasa mahujaji na uchafu wa madhambi

1390/00/00  21:08

YANAYO FUNGUZA SWAUMU

1390/00/00  21:35

KUTHIBITI KWA MWEZI WA RAMADHANI

1390/00/00  21:32

Madhara ya ulevi kwa binadamu

1390/00/00  6:20


ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani