Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Qur-an
- Qur-an



Fadhila za Qurani

2012/07/31  17:22

Kuumbwa Dunia katika Qura`ani-Sehemu ya Pili

2012/06/15  17:40

Mashindano ya Qur'an yakimataifa kufanyika nchini Sudan
Mashindano ya tatu ya kimataifa ya Qur'an hufanyika mji mkuu wa Sudan Khartum, nchi 30 kushiriki katika mashindano hayo ambapo Iran ni moja miungoni mwa nchi zilizoshiriki katika mashindano hayo

1390/00/00  4:30

Qari wa Iran kushiriki katika mashindano ya Qur’ani Sudan
Mohammad Mahdi Haqguyan, qari wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran atashiriiki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani yatakayofanyika Sudan.

1390/00/00  4:34

Kikao cha wawakilishi wa taasisi za Qur'ani chafanyika Madrid
Kikao cha wawakilishi wa taasisi za Qur'ani Tukufu kilifanyika Alkhamisi iliyopita huko Madrid mji mkuu wa Hispania.

1390/00/00  4:29

Qur'ani ni shifaa hata kwa wasiokuwa Waislamu
Mufti wa Kisaudi Arabia amekiri kwamba kitabu kitakatifu cha Qur'ani ni shifaa hata kwa Wasiokuwa Waislamu.

1390/00/00  7:05

Nigeria yatakiwa kuainisha siku makhsusi ya Qur'ani Tukufu
Kiongozi wa Kiislamu wa Nigeria amesema katika ufunguzi wa mashindano ya kitaifa ya kiraa ya Qur'ani kwamba kuna haja ya kutangazwa siku ya taifa ya Qur'ani nchini humo.

1390/00/00  6:01

Wito wa kuundwa kamati ya kimataifa ya uchapishaji Qur'ani
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sheikhein ya Misri amesisitiza umuhimu wa kubuniwa kamati ya kimataifa ya uchapishji qur'ani

1390/00/00  4:02

Vikao vya kiraa ya Qur'ani kufanyika Iraq sikukuu ya Ghadir
Vikao vya kuanisika na kiraa ya Qur'ani Tukufu vimepangwa kufanyika katika mikoa mbalimbnali ya Iraq katika sikukuu ya Ghadir Khum inayosadifiana na Jumanne ya wiki ijayo.

1390/00/00  4:23

Mashindano ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu kufanyika Ubelgiji
Mashindano ya kitaifa ya usomaji Qur'ani Tukufu kwa watoto wasio na walinzi yamepangwa kufanyika Brussels mji mkuu wa Ubelgiji hapo tarehe 19 Novemba.

1390/00/00  6:48

Rais Ahmadinejad ataka mwamko wa kuhifadhi Qur'ani uongezewe kasi
Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametaka harakati na mwamko wa kuhifadhi Qur'ani nchini Iran uongezewe kasi

1390/00/00  6:39

Maonyesho ya nuskha za Qur'ani huko Israel yakosolewa
Sheikh Najih Bakirat, Mkuu wa Idara ya Nuskha Zilizoandikwa kwa Mkono ya Msikiti wa al-Aqsa amekosoa maonyesho ya nuskha za Qur'ani na turathi za Kiislamu yaliyoandaliwa hivi karibuni na Maktaba ya Kitaifa ya Israel kwa lengo la kudhihirisha kuwa maonyesho hayo ni jambo la kawaida lisilokuwa na tatizo lolote.

1390/00/00  5:15

Misimamo ya Wakristo kuhusu Qur'ani kuchunguzwa Tennessee
Kikao cha kuchunguza misimamo ya Wakristo kuhusu kitabu kitakatifu cha Qur'ani katika kipindi chote cha historia kitafanyika Jumamosi ijayo katika Chuo Kikuu cha Tennessee nchini Marekani.

1390/00/00  5:16

Mahakama ya Ufaransa yamwachilia huru mhalifu aliyevunjia heshima Qur'ani
Vyombo vya habari vya Ufaransa vimeripoti kuwa kesi iliyokuwa ikimkabili Mfaransa mmoja mkazi wa mji wa Strasbourg ambaye alivunjia heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani kwa kukichoma moto na kisha kukikojolea imesikilizwa leo Jumanne, na kutupiliwa mbali na Mahakama ya Rufaa ya mji huo.

1390/00/00  7:32

Malaysia, mwenyeji wa kikao cha pili cha kimataifa cha utafiti wa Qur'ani
Kikao cha pili cha kimatifa cha utafiti wa Qur'ani kimepangwa kufanyika Kuala Lumpur, mji mkuu wa Malaysia tarehe 22 na 23 Februari mwakani.

1390/00/00  6:06

Qur'ani za Kichina zakusanywa katika masoko ya Misri
Jumuiya ya Uhakiki wa Kiislamu ya al Azhar huko Misri imeamuru kukusanywa nakala zote za Qur'ani zilizochapishwa nchini China kutoka kwenye masoko ya nchi hiyo kutokana na kuwa na makosa ya kichapa na kimaandishi.

1390/00/00  8:20

Nuskha za Qur'ani zilizo na makosa zaonyeshwa katika maonyesho ya Algeria
Nuskha za Qur'ani Tukufu zilizo na kasoro za kurasa na aya, zilizopitishwa na Jumuiya ya Utafiti ya al-Azhar zimeonyeshwa katika maonyesho ya 16 ya kimataifa ya vitabu nchini Algeria.

1390/00/00  7:33

Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya wanachuo Waislamu kufanyika Lebanon
Mkuu wa Jumuiya ya Shughuli za Kiqur'ani ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Iran ametoa pendekezo la kufanyika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya wanafunzi Waislamu wa vyuo vikuu nchini Lebanon. Mashindano hayo ya 4 ya wanachuo Waislamu yamepangwa kufanyika mwezi Mei mwakani.

1390/00/00  6:23

Qur-ani
Madina kuwa mwenyeji wa Kongamano la Kimataifa la Mbinu Bora ya Kuchapisha Qur'ani
Kituo cha kuchapisha na kusambaza Qur'ani Tukufu cha Mfalme Fahad katika mji mtakatifu wa Madina kitakuwa mwenyeji wa Kongamano la Kimataifa la Mbinu Bora ya Kuchapisha Qur'ani Tukufu.

1390/00/00  5:59

Qurani tukufu
Nakala zenye makosa za Qur'ani zakusanywa Saudia
Mkurugenzi wa kiwanda cha uchapishaji wa Qur'ani cha Mfalme Fahad nchini Saudi Arabia amesema kuwa nakana za Qur'ani ya elektroniki zenye makosa ya kichapa zimeanza kukusanywa.

1390/00/00  5:19

Jamii na Qur'ani
kushinda nafasi ya kwanza ya mashindano ya Qur'ani nchini Russia
Palestina imenyakua nafasi ya kwanza ya mashindano ya kimataifa ya kiraa na tajwidi ya Qur'ani Tukufu ambayo yalifanyika hivi karibuni mjini Moscow, Russia.

1390/00/00  2:07

Qur'ani ndio muongozo wa Jamii
Harakati za Qur’ani hupunguza uhalifu wa kijamii
Kuzingatia masuala ya kidini, kimaadili na elimu ya jamii ya vijana pamoja na kuwekeza katika harakati za Qur’ani ni njia muafaka ya kupunguza uhalifu wa kijamii.

1390/00/00  5:26

QUR'ANI
Qur'ani Nchini Iran
Mohammad Mahdi ‘Sisitishi masomo ya akademia ninapo hifadhi Qur’ani’

1390/00/00  20:43

Mazingira ya Jamii
Qurani na Mazingira
‘Mazingira kwa Mtazamo wa Qur’ani na Sunna’

1390/00/00  21:15

Insiklopidia ya maana na istilahi za Qur'ani Tukufu yachapishwa na ISESCO
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu ISESCO limechapisha insiklopidia ya manaa na istilahi za Qur'ani Tukufu katika juzuu mbili.

1390/00/00  7:17


  
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani