Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Mafunzo na Riwaya
- Mafunzo na Riwaya



Mafunzo ya jamii
Je! Mwanamke asokuwa Muislamu aruhusiwa kutumia internet vibaya/Je! Faida ya biashara ya internet ni halali
Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(AS)-ABNA- Ayatullah Sistani alijibu baadhi ya maswali kunako shughuli ya internet na utumiaji vibaya Wanawake wasokuwa Waislamu internet.

2013/04/18  07:43

Elimu na jamii
Je! Wafahamu kwamba:
Kupumzika huongeza nguvu ya akili! Watambu kwamba kupunguza kuvuta sigara humfanya mtu kujihisi Saada! Wafahamu kwamba kunywa glasi moja ya maziwa kila siku yamfanya mtu kuwa mwerevu! Watambua kwamba hisia ya kuonja kwenye vipepeyo iko miguuni mwake!!

2013/04/09  16:53

Mafunzo ya jamii
DUA BAADA YA KILA SALA

2013/03/27  00:04

Mafunzo ya jamii
MAUMIVU YA KICHWA AU KUUMWA KICHWA

2013/03/22  19:34

KUFUNGA MIKONO KATIKA SWALA

2013/03/16  20:43

MAFUNZO YA SWALA

2013/03/16  20:35

JE ! UNATAMBUA KWAMBA:

2013/03/16  20:30

HEKAYA

2013/02/25  21:58

Jamii
SHAKA NA DHANA MBAYA NA ATHARI ZAKE KATIKA MAHUSIANO YA KIFAMILIA
يا أَيُّهَا الَّذينَ آمَنُوا اجْتَنِبُوا كَثيراً مِنَ الظَّنِّ إِنَّ بَعْضَ الظَّنِّ إِثْمٌ وَ لا تَجَسَّسُوا وَ لا يَغْتَبْ بَعْضُكُمْ بَعْضاً أَ يُحِبُّ أَحَدُكُمْ أَنْ يَأْكُلَ لَحْمَ أَخيهِ مَيْتاً فَكَرِهْتُمُوهُ وَ اتَّقُوا اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ تَوَّابٌ رَحيم Enyi mlio amini! Jiepusheni na dhana nyingi, kwani baadhi ya dhana ni dhambi. Wala msipelelezane, wala msisengenyane nyinyi kwa nyinyi. Je! Yupo katika nyinyi anaye penda kuila nyama ya nduguye aliye kufa? Mnalichukia hilo! Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kupokea toba, Mwenye kurehemu. Quran 49/12

2013/02/24  19:04

Mafunzo ya jamii
Historia ya Mirungi

2013/02/12  21:15

Mafunzo ya jamii
MADHARA YA MIRUNGI- Sehemu ya Pili

2013/01/17  21:15

Mafunzo ya jamii
MADHARA YA MIRUNGI- Sehemu ya kwanza

2013/01/17  21:09

Dua za ramadhani

2012/07/31  21:40

UTENZI WA KUKARIBISHA RAMADHANI.

2012/07/27  18:00

Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
RISALA YA RAMADHANI YA RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN 2012

2012/07/27  17:41

UTAFANYA NINI ILI UFAANIKISHE NDOA YAKO?!

2012/06/15  17:46

Mafunzo ya Jamii
Ukhalifa wa Omar na kuungwa mkono.

1390/00/00  18:57

Afya ya jamii
Dawa bandia za Malaria zaongeza madhara
Ikilezwa kuwa katika miaka 2009-2011 Dawa bandia zimekuwa zikizidi katika Nchi za Afrika Lengo kuendelza ugonjwa huo na kuonyesha kuwa bara la Afrika ni masikini na.. wataalamu wa maswala ya afya katika bara la Afrika wanapaswa kuchukua hatua kambambe za kusitisha kuenea kwa dawa hizo bandia katika bara la Afrika au sio mamilioni ya watu watafariki.

1390/00/00  17:07

Mafunzo ya Jamii
Kupewa utawala Umar ibn Khatab

1390/00/00  5:44

Mafunzo ya Jamii
Kongamano la ‘Avicenna na Wanafalsafa wa Kiislamu’
Kongamano lenye anwani ya ‘Avicenna na Wanafalsafa wa Kiislamu’ litafanyika Tehran Oktoba 18-19 chini ya usimamizi wa Taasisi ya Hekima ya Sadra ya Kiislamu.

1390/00/00  3:31

Umoja wa Umma
Umoja wa Umma wa Kiislamu
Umoja wa umma wa Kiislamu ni lengo muhimu na aali ambalo wanafikra na maulamaa wa Kiislamu wamekuwa wakifanya jitihada kubwa tangu zama za awali za Uilslamu kwa ajili ya kufikia lengo hilo. Hivi sasa tumo katika Wiki ya Umoja kati ya Waislamu ambayo ilitangazwa na hayati Imam Khomeini kutokana na hitilafu za mapokezi kuhusu siku aliyozaliwa Mtume Muhammad (saw).

1390/00/00  6:47

Mafunzo ya Jamii
MUT'A (AU NDOA YA MUD A)
Kinachokusudiwa ni ndoa ya Mut'a au ndoa ya muda au ndoa ya wakati maalum, na ndoa hii ni sawa na ndoa ya kudumu, kwani haisihi isipokuwa kwa mafungamano yanayokusanya Qabul na I'jab,

1390/00/00  22:38

KUSUJUDU JUU YA UDONGO
Wanachuoni wa Kishia wamekubaliana juu ya kauli inayohusu ubora wa kusujudu juu ya ardhi kutokana na mapokezi wanayoyapokea kutoka kwa Maimamu wa nyumba ya Mtume (s.a.w.), mapokezi hayo ni kauli ya babu yao ambaye ni Mtume wa Mwenyezi Mungu aliposema: "Bora ya Sijda ni (kusujudu) juu ya ardhi".

1390/00/00  21:10

KUKUSANYA BAINA YA SALA MBILI
Miongoni mwa mambo ambayo Mashia wanaumbuliwa, ni kuchanganya Sala ya Adhuhuri na Alasiri na baina ya Sala ya Magharibi na I'sha.

1390/00/00  22:33

Sheikh wa al Azhar:Mashia hawana Qur'ani tofauti ya ile ya Masuni
Sheikh wa al Azhar nchini Misri amesema katika ufunguzi wa Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Misri kwamba baadhi ya kanali za televisheni zinafanya njama za kudhihirisha kwamba Qu'ani ya Mashia inatofautiana na ile ya Masuni na kwamba madai hayo ni urongo mtupu unaotaka kuzusha fitina.

1390/00/00  4:4


  
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani