![]() |
Ulaya Urusi yapinga vikali kupewa silaha makundi pinzani ya Siria Urusi imepinga vikali msimamo wa nchi za ulaya wa kuyapatia silaha makundi haramu yanayotaka kuangusha serikali ya Siria
|
![]() |
EU Uingereza kutishia kujitoa kutoka EU na Ujerumani kulaani vikali hatua hiyo Hivi karibuni waziri mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron alisema Uingereza kubaki au kujitoa kutoka Umoja wa Ulaya, hii itaamuliwa katika upigaji kura za maoni. Kauli yake imelaaniwa vikali na wanasiasa wa Ujerumani.
|
![]() |
Habari za Ulaya Sarkozy arejea nyumbani baada ya kuhojiwa kwa saa 12 Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy amerejea nyumbani jana jioni baada ya kusikilizwa kwa muda wa saa kumi na mbili mfululuzo na majaji wanaochunguza kesi ya fedha haramu za mwanamama tajiri nchini Ufaransa Ingrid Betancourt.
|
![]() |
Ujerumani kubana matumizi Ulaya Maelfu ya wananchi wameandamana nchini Ugiriki nje ya ukumbi ambao kansela wa Ujerumani Angela Markel alikuwa anakutana na mwenyeji wake waziri mkuu Antonio Samaras wakipinga ziara ya kiongozi huyo nchini mwao.
|
![]() |
Askari 25 wauawa baada ya mlipuko ulotokea katika ghala ya kuhifadhi silaha Uturuki Maofisa 25 wa jeshi wameuawa na wengine wanne kujeruhiwa katika mlipuko mkubwa uliotokea kwenye ghala ya kuhifadhia silaha iliyoko mjini Afyonkarahisar, nchini Uturuki.
|
![]() |
Mwaka 2012 ni mwaka mporomoko wa kiuchumi Ulaya Waziri mkuu wa Italia azuru nchi kadhaa Waziri mkuu wa serikali ya Italia Mario Monti anataraji kuelekea jiji Madrid nchini Uhispania kukutana na mwenzie Mariano Rajoy wakati nchi hiyo nayo ikikabiliwa na tatizo la mdororo wa uchumi katika ukanda wa nchi zinazo tumia sarafu ya Ulaya.
|
![]() |
Mashariki ya kati Ombi la Israel dhidi ya Hizbollah lakataliwa ABNA inatuarifu kuwa:Jumuiya ya nchi za Ulaya imelikataa ombi la Israel la kutaka kundi la wanamapambano la Hizbullah llilipo Lebanon kuingizwa katika orodha ya makundi ya kigaidi.
|
![]() |
Hitani yatambulika kisheria Ujerumani ABNA inatuarifu kuwa:Kansela wa Ujerumani ameunga mkono mwenendo wa dini Kiislam
na mayahudi wa kutahiri watoto wa kiume.
|
![]() |
Maoni juu ya kuipa Ujerumani Israel nyambizi Wahariri wa magazeti leo wanazungumzia juu ya mgogoro wa madeni barani Ulaya na suala la Ujerumani kuipa Israel nyambizi. Pia wanatoa maoni juu ya Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza.
|
![]() |
Uropa Malkia wa Uingereza aadhimisha miaka 60 ya utawala wake ABNA inatauarifu kuwa:Malkia Elizabeth 11 wa Uingereza jana aliongoza msafara wa boti katika mto Thames kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 60 tangu awe malkia nchini humo
|
![]() |
Athari za mporomko wa uchumi Barani Ulaya Chama cha mrengo wa kushoto nchini Ugiriki mbioni kuunda Serikali inayopinga ubanaji matumizi Kiongozi mkuu wa chama cha mrengo wa kushoto nchini Ugiriki, Alexis Tsipras ameanza mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kujaribu kuunda serikali ambayo inapinga hatua ya ubanaji matumizi.
Uamuzi wa kiongozi huyo kuamua kutafuta uungwaji mkono toka kwa vyama vya upinzani vinavyopinga serikali ya awali iliyokubali hatua za ubanaji wa matumizi ili kupatiwa mkopo imekuja baada ya vyama viwili vilivyokuwa vinaunda serikali kushindwa kufikia makubaliano ya kuunda serikali ya pamoja.
|
![]() |
Uropa Waislamu wanabaguliwa katika nchi za Ulaya ABNA inatuarifu kuwa:Shirikisho la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International limeeleza kuwa waumini wa dini ya Kiislam wanabaguliwa katika baadhi ya nchi za Ulaya.
|
![]() |
Aung San Suu Kyi apanga kufanya ziara ya kwanza barani Ulaya Baada ya kuhudumu kifungo cha ndani kwa zaidi ya miaka ishirini, kiongozi mkuu wa upinzani nchiniu Myanmar Aung San Suu Kyi, ametangaza kufanya ziara ya kwanza barani ulaya mwezi June mwaka huu.
|
![]() |
Urusi Urusi yaahidi kuimarisha jeshi lake ABNA inatuarifu kuwa:Serikali ya Urusi imehaidi kuongeza nguvu na uwezo wa jeshi lake, ili kuimarisha zaidi ulinzi wa nchi hiyo.
|
![]() |
Mashariki ya kati UN kujadili upya hatua za kuichukulia Syria ABNA inatuarifu kuwa:Maofisa wa Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa wamesema kuwa wajumbe wa mkutano huo wamepata mapendekezo mapya ya hatua za kuchukua dhidi ya Syria.
|
![]() |
Mporomoko wa uchumi Nchi za Ulaya kukabiliwa na hali ngumu ya kiuchumi Taasisi ya kutathmini viwango vya uchumi duniani ya S and P imeonya kuwa huendsa hali ya kiuchumi ikawa mbaya zaidi barani Ulaya ikiwa hatua za dharura hazitachukuliwa.
|
![]() |
Ulaya Cantona kugombea urais wa Ufaransa ABNA inatuarifu kuwa:Mchezaji maarufu Eric Cantona aliyekuwa timu ya Manchester United ametangaza wiki hii dhamira yake ya kugombea nafasi ya urais wa Ufaransa unao tarajiwa kufanyika hivi karibuni.
|
![]() |
Ulaya wabaguzi wawili wahukumiwa miaka 15 jela kwa kesi ya mauaji Mahakama mjini London imesema wazungu wawili wanaoaminika kumuua kijana mweusi miaka 18 iliyopita watahukumiwa angalau kifungo cha miaka 15 jela.
|
![]() |
UN Umoja wa mataifa wataka mazungumzo baina ya Iran na nchi za magharibi Abna inatuarifu kuwa:Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuendelezwa mazungumzo baina ya Iran na madola ya Magharibi. Ban Ki- Moon amesisitiza kwamba, kuna haja ya kufanyika juhudi za kupunguza mivutano baina ya Iran na nchi za Magharibi.
|
![]() |
Ulaya kuwaka Moto Sarkozy amuita Cameron mtoto mkaidi na mbishi Uhusiano kati ya London na Paris umeingia doa baada ya Rais wa Ufaransa Nicolus Sarkozy kumuita Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron mtoto mkaidi na mbishi.
|
![]() |
Iran na Uropa vikwazo dhidi ya Iran ni njama za kuwapotosha watu Ulaya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, harakati za kuiwekea vikwazo Iran ni njama za kuzipotosha fikra za waliowengi barani Ulaya.
|
![]() |
Mtu aliyeshambulia Msikiti wa Montbéliard, Ufaransa atiwa nguvuni Mwanachama wa kundi moja la kibaguzi la Ufaransa ambaye tarehe 10 Novemba alichoma moto Msikiti wa Montbéliard ametiwa nguvuni.
|
![]() |
Marekani na Ulaya Marekani ndio mchechezi wa vurugu za uchaguzi wa Urusi Vladimir Putin, Waziri Mkuu wa Russia ameishambulia kwa maneno Marekani na kusema, inachochea vurugu za uchaguzi nchini humo
|
![]() |
Uturuki kuwa Mkiia wa Magharibi Uturuki: Kushambuliwa Syria kijeshi unafaa kuwa uamuzi wa mwisho Uturuki imesema chaguo la kuishambulia Syria kijeshi linafaa kuwa la mwisho iwapo hali ya mambo itasalia kama ilivyo hivi sasa. Ahmet Davotuglu, Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa, serikali ya Rais Bashar al Assad inafaa kupewa muda wa kujaribu kutuliza hali ya machafuko inayoshuhudiwa hivi sasa nchini humo.
|
![]() |
Rais wa Italia ataka kufanyika mazungumzo kati ya dini mbalimbali Rais Giorgio Napolitano wa Italia ameitaka Vatican kutayarisha uwanja wa kufanyika mazungumzo kati ya dini mbalimbali nchini Italia.
|