Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Habari za Amerika
- Habari za Amerika



Marekani
Terry Jones atangaza kuichoma Qur ani tukufu kwa mara nyingine
Padri wa kimarekani ambaye alichoma kitabu kutukufu cha Qur an ametangaza kukichoma tena kitabu hicho kitukufu.

2013/04/09  08:30

Habari za Marekani
Ziara ya serikali mpya ya Obama Berlin na Paris
Waziri mpya wa mambo ya nchi za nje wa Marekani, John Kerry, amewasili Berlin,kituo cha pili cha ziara yake ya siku 10 katika nchi za Ulaya ya Magharibi, Mashariki ya kati na katika Falme za kiarabu.

2013/02/26  21:05

Baada ya mauaji ya kinyama Marekani kutafuta njia mbadala
Obama kuzindua mpango wa kudhibiti silaha nchini Marekani
Rais Barack Obama wa Marekani amelitaka bunge la nchi hiyo kupitisha sheria inayopiga marufuku uuzaji wa bunduki zilizoundwa kwa matumizi ya kivita, na utaratibu wa kukagua historia ya kila mtu anayetaka kununua bunduki.

2013/01/19  10:10

Venezuela
Venezuela yaahirisha kiapo cha Chavez
Venezuela imetangaza kuahirisha rasmi sherehe za kula kiapo cha Urais kutokana na hali ya kiafya ya muhusika; Rais Hugo Chavez kuendelea kuwa mbaya.

2013/01/09  20:06

Marekani
Panetta: kuishambulia Iran kijeshi ni uamuzi wa mwisho kabisa
mtazamo wetu ni sawa na mtazamo wa Israel lakini hatuwezi kuivamia Iran kijeshi kwa sasa,uvamizi utakuwa ni hatua ya mwisho kabisa

2012/12/19  17:07

Amerika
Takwimu ya vijana wanaosilimu yaongezeka Algentina
Kiongozi mmoja wa dini nchini Algentina asema idadi ya vijana wanaosilimu yaongezeka kadri siku zinavyosonga mbele.

2012/12/15  18:19

Marekani
Tovuti ya Televisheni ya NBC ya Marekani kufungwa
Tovuti ya Televisheni ya NBC ya Marekani kufungwa masaa kadhaa na watu wasojulikana wanaoitwa Hucker.

2012/11/06  19:55

Polisi na vikosi vya kuzima moto vyakabiliwa na tatizo la mshahara Marekani
Kuanzia New York hadi California polisi na vikosi vya kuzima moto vyakabiliwa na tatizo la kupunguzwa kwa mishahara na marupurupu yao. Vikosi hivyo vinalalamika kuwa wanasiasa wanavilenga.

2012/08/03  19:36

Mashariki ya kati
Marekani yaongeza nguvu zake za kijeshi katika Ghuba ya Uajemi
ABNA inatuarifu kuwa: Serikali ya Baraka Obama imeongeza na nguvu zake za kijeshi katika kambi zake zilizopo katika eneo la ghuba ya Uajemi kwa lengo la kujikinga na mashambulizi makali yanayotarajiwa kutoka kwa Jamhuri ya kiislam ya Iran.

2012/07/14  09:10

Marekani
Obama arudia vitisho kwa Jamhuri ya kiislam ya Iran
ABNA inatuarifu kuwa: Raisi wa Marekani Barrack Obama amerejea kutoa vitisho vya kuivamia kijeshi Jamhuri ya kiislam ya Iran iwapo itaendeleza urutubishaji wake wa Nyukilia wa njia ya amani

2012/03/05  10:20

Venezuela
Chavez kufanyiwa upasuaji Cuba
ABNA inatuhabarisha kuwa:Rais wa Venezuela amewasili nchini Cuba kwa minajili ya kufanyiwa upasuaji

1390/00/00  4:24

Obama apiga saini mkataba wa kuiwekea vikwazo benki ya Iran
ABNA inatuarifu kuwa: Baraka Obama rais wa Marekani amekubaliana na kusaini mswada uliopitishwa wa kuiwekea vikwazo Iran.

1390/00/00  20:35

Waislamu tuko wapi!
Unyama wa Marekani Afghanistan
Waziri wa ulinzi wa Marekani Leon Panetta amesema video inayoonyesha askari wa jeshi la majini la Marekani wakikojolea maiti za Wafghanistan ni la “kusikitisha sana”.

1390/00/00  17:27

Marekani na mashariki ya kati
Marekani yaiomba radhi Afghanistani kwa kitendo chake cha kinyama.
ABNA inatuhabarisha kuwa: Waziri wa ulinzi wa Marekani amemtaka radhi rais wa Afghanistani, baada ya picha za video zilizo sambazwa katika mitandao ambazo zinaonyesha baadhi ya wanajeshi wa Marekani wakikojolea miili ya waafghanistani walio kufa.

1390/00/00  3:8

China na Marekani zashidwa kuafikiana juu ya Iran.
ABNA inatuarifu kuwa: Serikali ya Marekani imeshindwa kuafikiana na serikali ya China katika jitihada za kuiwekea vikwazo Iran baada ya kufanyika mazungumzo kati ya waziri wa fedha na mipango ya uchumi wa Marekani Timoth Geithner na viongozi wa China.

1390/00/00  7:21

Iran na Amerika
Kiwanda kipya cha Nyuklia cha Iran chainyima usingizi Marekani na waitifaki wake.
ABNA inatuarifu kuwa: Taarifa ya Iran kuanza kurutubisha Uraniam imekuwa gumzo duniani hasa kwa Marekani. Iran imeanza kurutubisha madini ya Uranium katika kiwanda kilichoko chini ya ardhi kaskazini mwa nchi hiyo.

1390/00/00  10:27

Iran na Amerika
Ziara ya Ahmad Nejat Venezuela tishio kubwa kwa Marekani
ABNA inatuarifukuwa:Rais Hugo Chavez wa Venezuela jana alikutana na Raisi wa Jamhuri ya kiislam ya Iran Dakta:Mahmoud Ahmadinejad, akiwa katika ziara ya nchi 4 za Latin Amerika.

1390/00/00  10:11

Marekani
Lawama za Marekani dhidi ya China kuhusu mikakati ya ulinzi hazina mashiko.
China imesema lawama zilizotolewa na wizara ya ulinzi ya Marekani dhidi ya China katika waraka wa tathimini ya mikakati ya ulinzi haina msingi wowote na si ya kuaminika.

1390/00/00  22:46

Waislamu Marekani walaani hujuma dhidi ya Msikiti New York
Baraza la Uhusiano wa Marekani na Uislamu CAIR limelaani vikali hujuma ya bomu dhidi ya msikiti mmoja huko New York wakati Waislamu wakiswali ndani ya msikiti huo.

1390/00/00  18:33

Athari za muamko wa Kiislamu kuikumba Marekani
Waislamu wa New York waandamana kupinga ukandamizaji wa polisi
Mamia ya Waislamu wa jiji la New York nchini Marekani waliandamana jana wakipinga harakati za kijasusi zinazofanywa na polisi ya nchi hiyo dhidi ya raia Waislamu.

1390/00/00  20:23

Marekani na Israel kufanya luteka kubwa ya kijeshi
Naibu Waziri anayeshughulikia masuala ya Kisiasa na Kijeshi wa Marekani amesema nchi yake na utawala wa Kizayuni wa Israel zinajiandaa kufanya manuva kubwa ya kijeshi

1390/00/00  5:29

Marekani & Afrika
Marekani kurefusha tena Muda wa vikwazo dhidi ya Sudan
Abna inatuarifu kuwa:Rais Barack Obama wa Marekani kwa mara nyingine tena ameudhihirishia ulimwengu jinsi utawala wa Washington ulivyojengeka juu ya misingi ya dhulma na unafiki baada ya kurefusha kwa mwaka mmoja zaidi vikwazo dhidi ya Sudan.

1390/00/00  5:09

Marekani & Afrika
Marekani yaendelea Mashambulizi ya anga Somalia
Abna inatuarifu kuwa: ndege za kivita za marekani zinazoendeshwa kwa mitambo maalum zimeendeleza mashambulizi makali dhidi ya raia madhulumu wa Somalia.

1390/00/00  22:16

Marekani
Polisi Marekani watumia gesi ya kutoa machozi kudhibiti maandamano
Abna inatuarifu kuwa:Mwamko wa wananchi wa Marekani ulioanza kwa jina la harakati ya "Wall Street" umeingia katika sura mpya baada ya polisi wa nchi hiyo kuweka wazi zaidi dhati yao halisi ya ukandamizaji dhidi ya raia.

1390/00/00  21:27

Marekani
Waandamanaji: Marekani inaendeshwa kidikteta
Abna inatuarifu kuwa:Wananchi wanaoandama nchini Marekani kupinga mfumo wa kibepari wamelalamikia ukandamizaji wanaofanyiwa na watawala wa nchi hiyo wakisema kuwa, Marekani inaendeshwa kidikteta na kipolisi.

1390/00/00  5:40


  
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani